Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwa hiyo mmeshazoea?Kunajisiwa huko kulianza karne nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mmeshazoea?Kunajisiwa huko kulianza karne nyingi
Sasa mbona unawashabikia na kusema wao ni afadhali?umemsikia Samia akilaani yaliyotokea awamu ya 5.?
au umemsikia majaliwa akilaani yaliyotokea awamu ya 5?
Au umemsikia bashiru akilaani yaliyotokea awamu ya 5?
wanajua wao walikuwa sehemu yake ndo maana wamekaa kimya.
Nyerere ambaye ni muasisi uliyemtaja aliona hili na akaonya kuwa Katiba hii imempa mamlaka makubwa mno Rais!Tukimpata Rais akayatumia madaraka yake vibaya basi itakuwa majanga Kwa taifa!Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Sasa mbona unawashabikia na kusema wao ni afadhali?
Katiba ya Jamhuri ya 1962 ndiyo ilitengeneza Urais tulio nao leo (Imperial Presidency)Uhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...
Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Ndugai ameonjeshwa ladha ya dawa aliyoshiriki kuisambaza, amezoea kunajisi uhuru wa watu kutoa maoni hivyo watu kuchekelea yaliyomkuta ni sawa kabisa.Mbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
Yamelikuta siyo Ndugai!..Ndugai ameonjeshwa ladha ya dawa aliyoshiriki kuisambaza, amezoea kunajisi uhuru wa watu kutoa maoni hivyo watu kuchekelea yaliyomkuta ni sawa kabisa.
Kwanza hakuwa upande unao support katiba mpya ambayo uhuru(kutoingiliwa) wa mihimili ungewekwa dhahiri shahiri na haya yaliyomkuta yasingewezekana, wanaoshangilia wako sahihi kabisa. Bunge si huru hivyo hakuna maajabu katika yaliyotokea.
Vipi Samia yeye anajitoa vipi?Kama NDUGAI alikuwa spika wa bunge awamu ya 5.
Watu waliteswa kupigwa kufilisiwa kutekwa kuuliwa alikaa kimya.
Leo mikopo ya Samia ndo imuumize?
DHULMA iliyofanywa awamu ya 5 alikuwa wapi?
Ndo maana nakwambia UNAOTA WEWE.
Ndugai anajitoa vipi?
Kwenye DHULMA?
Mbona hakuhoji mikopo ya magufuli?
Lisu anionyeshe sehemu ambapo spika anayetoka na Democrat au Republican amewahi kuwa mpinzani wa serikali ya chama Chao.."Kulazimishwa kwa Spika Ndugai kujiuzulu kunathibitisha wazi kabisa kile ambacho tumekisema kwa miaka mingi, kwamba kwa mfumo wetu wa kikatiba na kiutawala tuna muhimili mmoja tu wa dola na muhimili huo unaitwa Rais." Mhe. @TunduALissu.
"Kwa miaka 60 ya uhuru tangu 1962 utaratibu wa Mihimili mikuu 3 inayothibitiana imevurugwa kwa maana kwamba Rais amekuwa na madaraka makubwa sana. Rais wetu ni Rais wa kifalme, mamlaka yake hayana udhibiti, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu." Lissu
So Ndugai ni ng'ombe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
View attachment 2071857
Unahangaika kumjibu mpumbavu asiye hata na punje ya akili, you're just wasting your energy.We jamaa mchnago wako n wa kipuuzi sana na wala hauna mantiki yoyote, hivi una uhakika Lissu hajawai kufanya kitu chochote cha maana nchini, hivi unataka kusema Lissu hakuwai kupambana kuhusu maeneo yenye migodi kama Nyamongo ili watu wapate haki zao, Michango ya Lissu bungeni ilikua haina maana ktk nchi hii. Hivi kufanya mambo ya maana ni mpaka uunge mkono juhudi za serikali iliyoko madarakan.
Lema anafurahia Ndungai aliye nyanya said wabunge wa Upinzani bungeni leo ni mbunge wa kawaida lakini hafurahii mhimili kuvunjwa nguvu.
Adui yako akioigwa haijalishi aliyempiga lzm ufurahiMbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
These are material things dear, Lema is fighting for bigger things that money can’t buy.View attachment 2071924
lema ni binaadam dhaifu sana,akumbushwe katiba inasemaje kuhusu cheo cha spika wa bunge baada ya kustaafu.
naona jana kamtabiria kifo[emoji1787][emoji1787]
hii sio sifa ya vijana wa arusha,ana maumivu kama mtoto wa kike.
Anachomaanisha Lissu hapa ni kwamba mhimili mmoja haupaswi kupigia magoti mhimili mwingine; in case unahitaji PhD ili kujua alikuwa anamaanisha nini.So Ndugai ni ng'ombe.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Now wanaachana na ile dhana ya rais dikteta to rais ni mfalme 😂 ahahhaaa Afrika bana!.Mfalme kuwa na madaraka makubwa ndiyo ilipelekea mageuzi ya kisiasa Ulaya miaka ya 1890 kuendelea na wawekezaji wengi walikimbilia Marekani kuepuka a na kero za Wafalme.
Limepigwa bunge siyo NdugaiAdui yako akioigwa haijalishi aliyempiga lzm ufurahi
Yupo sahihi maana Nchi ilipata uhuru 1961 na kuwa jamhuri 1962.Mwaka 1961 mkuu wa nchi alikua Malikia Elizabeth wa 2 na waziri mkuu wa Tanganyika alikua Mwalimu Nyerere lakini mwaka 1962 tulivokua jamhuri Rais akawa NyerereUhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...
Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu