Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Waliokuzaa wanahasara, usikute we nawe ni msomi una argue kijinga hivi. Pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Lini uliwauliza watanzania ukajua kuwa kuna mamilioni wanaipendekeza hii katiba inayotumika sasa? Acha hayo mambo ya kubisha hata vitu vya msingi. Je watanzania waliotoa maoni yao kuhusu rasimu ya katiba ya Mzee warioba umewaweka katika kundi gani???

Mwalimu Nyerere ni miongoni mwa walioasisi hii katiba naye pia aliwahi kuzungumza the same kama anavyosema Lissu kwamba katiba imempa madaraka makubwa sana na kwamba akija mwingine asiye na nia njema anaweza kuitumia vibaya. Kila mtu anajua Katiba yetu imeshapitwa na wakati ilitufaa kipindi hicho lakini kwasasa haifai tena.
 
Kama mnaamini kwamba kila alichokisema Nyerere kina maana mbona huyo Lissu wenu alimkashfu Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Ni hivi, Nyerere alitoa kauli hiyo kama maoni yake binafsi, na sisi watanzania tuna akili ya kuchambua na kuchanganya za kwetu.
 
Katiba ya ccm ndio kifo cha ccm,chama ni mali ya Mwenyekiti
 
Kama mnaamini kwamba kila alichokisema Nyerere kina maana mbona huyo Lissu wenu alimkashfu Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Ni hivi, Nyerere alitoa kauli hiyo kama maoni yake binafsi, na sisi watanzania tuna akili ya kuchambua na kuchanganya za kwetu.
Mwalimu alitawala zama za giza
 
Kwani katiba ya nchi yetu inasemaje? Soma katiba, na yote yaliyomo ndiyo mfumo wa nchi yetu ulivyo.
Yaani kama unaiona hii katiba ya sasa ipo sawa basi utakuwa na tatizo la akili sio bure. Hata Mama mwenyewe anatambua haipo sawa ila kasema apewe muda kwanza afanye mengine.
 
Kama mnaamini kwamba kila alichokisema Nyerere kina maana mbona huyo Lissu wenu alimkashfu Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Ni hivi, Nyerere alitoa kauli hiyo kama maoni yake binafsi, na sisi watanzania tuna akili ya kuchambua na kuchanganya za kwetu.
Tumia akili zako vizuri, kwani hii hoja ya uhitaji wa katiba mpya ni ya Lissu? Yaani wewe mwenyewe huwezi kuona kuwa katiba yetu imeshapitwa na wakati?
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Akili zako hazina akili kabisa kabisa.
Umeandika nini hiki ..?!
 
Miaka hii bado kijana unasujudia mawazo ya wazee wa sixties?! Kama ww umeamua kusujudu mambo ya zamani waachie walioamua kutumia akili zao sasa.
 
Lema angekuwa anatamaa ya madaraka leo angekuwa bungeni.

anaweza asiwe na tamaa ya ubunge ila anautaka ubunge.

vilio vyote hivi mpaka kutabiria wenzie vifo ni baada ya kuporwa ajira yake.
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Aliyekwambia kuwa watz wameridhika na ukubwa wa madaraka alonayo rais ni nani? Unayajua maudhui yaliyo katika katiba ya Warioba kuhusu madaraka ya rais? Halafu unauliza kwa kejeli kwamba who is Lissu yaani we humfaham? Awu wewe ni mwendakuzimu umefufuka kutoka Burigi sasa unashangaa uliyetaka kumuua yu buheri wa afya?
 
Tungekuwa na utaratibu wa kuwa na speaker asiye mwananachama wa chama cha siasa (independent), huu ujinga wa Samia usingetokea kirahisi hivi

Sijui ilikuwaje Job na yeye akasurrender faster hivi?
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Ndio maana una avatar ya zinjanthropus africanus bata wewe.
 
Mbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
Duuuh!!!
Bosi wako leo kanajisi bunge!!??
Wewe na vilaza/mazuzu wenzako si ndio huwa mnaona mwenyekiti wenu ni "mungu", kuwa hakosei!!???
Huwa tukiwaambia muabuduo mtu badala ya Mungu Baba Muumba ni wajaa laana, mnatupinga.
Huwa tunawaambia muabuduo chama/mtu/ awamu badala ya mfumo, kuwa mu vilaza, mnatupinga.
Sasa pambaneni na ujuha wenu huku kwenye chama chenu cha kishetani.
 
Back
Top Bottom