These are material things dear, Lema is fighting for bigger things that money can’t buy.
Waliokuzaa wanahasara, usikute we nawe ni msomi una argue kijinga hivi. PatheticLissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Lini uliwauliza watanzania ukajua kuwa kuna mamilioni wanaipendekeza hii katiba inayotumika sasa? Acha hayo mambo ya kubisha hata vitu vya msingi. Je watanzania waliotoa maoni yao kuhusu rasimu ya katiba ya Mzee warioba umewaweka katika kundi gani???Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Msipende sana kuamini kila kinachotoka kwenye midomo ya Lissu ni cha maana.Waliokuzaa wanahasara, usikute we nawe ni msomi una argue kijinga hivi. Pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mnaamini kwamba kila alichokisema Nyerere kina maana mbona huyo Lissu wenu alimkashfu Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Ni hivi, Nyerere alitoa kauli hiyo kama maoni yake binafsi, na sisi watanzania tuna akili ya kuchambua na kuchanganya za kwetu.Lini uliwauliza watanzania ukajua kuwa kuna mamilioni wanaipendekeza hii katiba inayotumika sasa? Acha hayo mambo ya kubisha hata vitu vya msingi. Je watanzania waliotoa maoni yao kuhusu rasimu ya katiba ya Mzee warioba umewaweka katika kundi gani???
Mwalimu Nyerere ni miongoni mwa walioasisi hii katiba naye pia aliwahi kuzungumza the same kama anavyosema Lissu kwamba katiba imempa madaraka makubwa sana na kwamba akija mwingine asiye na nia njema anaweza kuitumia vibaya. Kila mtu anajua Katiba yetu imeshapitwa na wakati ilitufaa kipindi hicho lakini kwasasa haifai tena.
Mwalimu alitawala zama za gizaKama mnaamini kwamba kila alichokisema Nyerere kina maana mbona huyo Lissu wenu alimkashfu Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Ni hivi, Nyerere alitoa kauli hiyo kama maoni yake binafsi, na sisi watanzania tuna akili ya kuchambua na kuchanganya za kwetu.
Yaani kama unaiona hii katiba ya sasa ipo sawa basi utakuwa na tatizo la akili sio bure. Hata Mama mwenyewe anatambua haipo sawa ila kasema apewe muda kwanza afanye mengine.Kwani katiba ya nchi yetu inasemaje? Soma katiba, na yote yaliyomo ndiyo mfumo wa nchi yetu ulivyo.
Jibu hoja wacha kumjadili mtuUhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...
Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Tumia akili zako vizuri, kwani hii hoja ya uhitaji wa katiba mpya ni ya Lissu? Yaani wewe mwenyewe huwezi kuona kuwa katiba yetu imeshapitwa na wakati?Kama mnaamini kwamba kila alichokisema Nyerere kina maana mbona huyo Lissu wenu alimkashfu Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Ni hivi, Nyerere alitoa kauli hiyo kama maoni yake binafsi, na sisi watanzania tuna akili ya kuchambua na kuchanganya za kwetu.
Akili zako hazina akili kabisa kabisa.Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Lema angekuwa anatamaa ya madaraka leo angekuwa bungeni.[emoji23][emoji23]ndio anawadanganya hivyo!!
asingekimbia abakie kupigania twitter.
Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Akili zao “ndogo”. Hasira zao kwa Ndugai zimewapa opofu wa kuangalia picha kubwa. Ndio tofauti yao na LissuMbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
Lema angekuwa anatamaa ya madaraka leo angekuwa bungeni.
Aliyekwambia kuwa watz wameridhika na ukubwa wa madaraka alonayo rais ni nani? Unayajua maudhui yaliyo katika katiba ya Warioba kuhusu madaraka ya rais? Halafu unauliza kwa kejeli kwamba who is Lissu yaani we humfaham? Awu wewe ni mwendakuzimu umefufuka kutoka Burigi sasa unashangaa uliyetaka kumuua yu buheri wa afya?Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Ndio maana una avatar ya zinjanthropus africanus bata wewe.Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Duuuh!!!Mbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?