Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Anawashwa huyu mzee. Hizi siasa huwa zinawatoa akili kabisa. Anachokifanya yeye ni kuwashambulia wenzie kama ambavyo ye alishambuliwa. Tofauti ye anashambulia kwa maneno wakati yeye alishambuliwa kwa silaha.
Kwanza ujue aliyetoa oda ya yeye kushambuliwa ameshakuwa mifupa mitupu.

Usijichukukue sheria mikononi Mungu yupo na halali wacheni kutumia madaraka vibaya kisa mna mabunduki.

Mlishindwa ni nini hadi mabodigadi yasimzuie asife kama mna nguvu.
 
Anawashwa huyu mzee. Hizi siasa huwa zinawatoa akili kabisa. Anachokifanya yeye ni kuwashambulia wenzie kama ambavyo ye alishambuliwa. Tofauti ye anashambulia kwa maneno wakati yeye alishambuliwa kwa silaha.
Kushambuliana kwa maneno ndo siasa yenyewe iyo, mambo ya mabunduki, kubambikiana kesi na kutekana hatutaki hayo
 
Back
Top Bottom