Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Ni kweli kesi aliyofungwa kwayo miaka 30 ni ya ujambazi wa kutumia silaha kwa mfanya biashara Mroso.
Hili ni kosa la jinai na sii kosa la kisiasa.
Sasa jamhuri ilimkatia rufaa baada ya hukumu kutenguliwa kwa maagizo.
Hii ni kusema kwamba aliyetoa muongozo kwa judge kutengua kifu go cha miaka 30 ndie huyo huyo atakuwa ametoa maelekezo ya plea and bargain itekelezwe mahakanani.
Tunatamani mahakana zetu ziwe huru kutekeleza utawala wa sheria kwa wote na sii tu kwa kundi fulani.
 
Naunga mkono iwapo Mahakama zitakuwa huru huu mwingiliano wa maamuzi hautokuwepo kabisa na siasa chafu zitapungua nchini.
 
Kumbe ni Siasa siyo jambazi, ahsante kwa ufafanuzi
Doesnt make any different brother, sio siasa sio ukuu wa wilaya havikufanyi usiwe jambazi, ujambazi ni hurka na sabaya ni jambazi, ni sawa na shekhe au padre mlawiti, ni mlawiti tuu kibaka tuu, ushekhe au upadre haumfanyi asiwe kibaka wakati anabaka, that's stupid point, ukweli ni kwamba kafanya ujambazi siasa ndio zimetumika kumueka uraiani, na God bless him amepata second chance amrudie Mungu wake
 
Back
Top Bottom