Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Kama niliyosikia ni kweli kuhusu kulawiti watu kugonga misumari kwenye ugoko mauwaji unyanganyi na mengiñe mengi kumhusu sabaya
Basi Tundu lissu Yuko sahihi
Ila kama ni vinginevyo mtoa mada Yuko sahihi
 
Kwahiyo DSO na OCD walishindwa kumtambua?
Mzee Mgaya, unauliza maswali ya aina gani tena!!

Katika hali ya kawaida kabisa, na kwa aina ya uhusiano uliokuwepo kati ya huyo Sabaya na mamlaka ya nchi kipindi hicho; hao DSO na OCD wangepata wapi ujasiri wa kumripoti Sabaya?

Unauliza maswali as if kipindi hicho ulikuwa unaishi Cuba!!
 
1980s Katibu wa CCM Ruvuma alikamatwa na meno ya tembo!
 
"Lengai Ole Sabaya sio mkosaji wa kisiasa, Sabaya ni jambazi, na amehukumiwa kwa ujambazi.

Angeshtakiwa kwa yote ambayo aliyoyafanya na ambayo tunayafahamu angekaa gerezani maisha yake yote" TunduALissu,
View attachment 2580784
Aliyesema hivi yeye ndio jambazi la "LBGTQ+" asifikiri huyo mtawala aliyepo madarakan atakuwepo kwenye hicho kiti milele, hii kauli atakuja kuilipia gharama.
Lengai Ole Sabaya ndiye atakuwa rais wa Tanzania muda sio mrefu ujao pamoja na kuwa ni mwanasheria asije akatimkia Ubeligiji tenamaana hydrojeni na oksijeni hutengeneza maji sio moto
 
Back
Top Bottom