Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Unaweza kukwepa mkono wa sheria lakini si mkono Mungu
Kama ni kweli sabaya aliwatende mabaya watu awatafute haraka sana awaombe msamaha.
Tunamsubiri boma ng'ombe,tutampata tu hata Kama muda utapita kwasababu Hana Tena jeuri ya kutufanya chochote.
 
Ondoa upuuzi wako hapa. Huyo atakuwa rais wa familia yako labda.
Ina maana hiyo familia itakuwa yote ya wehu? Siamini kama hata watoto wake na mke wake, wote watakuwa wameugua pamoja naye, tena wote iwe ni matatizo ya afya ya akili.
 
Vipi kuhusu mashoga na wasagaji? Tuliwaona Lisu na fatuma kalume wakiwatetea kwa hoja na ufasaha
downloadfile(7).jpg
 
🤩🤩🤩

Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Kwani kamati ya ulinzi na usalama ni cheo cha maana sana, au ni cheo cha uadilifu? Kama rais wa wakati huo hakuwa muadilifu, ndio itakuwa huyo muhuni?
 
Unaweza kukwepa mkono wa sheria lakini si mkono Mungu
Kama ni kweli sabaya aliwatende mabaya watu awatafute haraka sana awaombe msamaha.
Me nakupa moja tu kati ya mengi hili hapa

"Lengai Ole Sabaya sio mkosaji wa kisiasa, Sabaya ni jambazi, na amehukumiwa kwa ujambazi.

Angeshtakiwa kwa yote ambayo aliyoyafanya na ambayo tunayafahamu angekaa gerezani maisha yake yote" TunduALissu,
View attachment 2580784
Huyu TAL ana ugonjwa wa akili. Vyombo vya habari viache kiherehere cha kumhoji. Lissu kwa sasa hana tofauti na mfalme Zumaridi. Wakiendelea kumhoji, wataishia kufungiwa na TCRA.
 
Kama niliyosikia ni kweli kuhusu kulawiti watu kugonga misumari kwenye ugoko mauwaji unyanganyi na mengiñe mengi kumhusu sabaya
Basi Tundu lissu Yuko sahihi
Ila kama ni vinginevyo mtoa mada Yuko sahihi
Watanzania wanamuhukumu mtu Kwa kusikia kama alivyosikia tundu Lisu
 
🤩🤩🤩

Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Sasa kuwa mwenyekiti kunakuzuiaje kufanya vitendo vya kijambazi? Hivi una akili hata kidogo wewe? Mtu aliyekata watu vidole, kuwapiga raia misumari mwilini, kuhudumiwa bar bila kulipa, kutishia watu amani kwa bastola huyo ni nani? 🤣
 
Kama niliyosikia ni kweli kuhusu kulawiti watu kugonga misumari kwenye ugoko mauwaji unyanganyi na mengiñe mengi kumhusu sabaya
Basi Tundu lissu Yuko sahihi
Ila kama ni vinginevyo mtoa mada Yuko sahihi
Lissu ni mropokaji ila kwa hili ame make points. Sabaya ni jambazi kweli kwa tabia tu na matendo aliofanya ana akisi ujambazi typically. Regardless ya madaraka aliyokuwa nayo kisiasa. Yeye sio mkuu wa wilaya wa kwanza mbona wenzake hawakufanya ambayo yeye alifanya? 🤣
 
Tunamsubiri boma ng'ombe,tutampata tu hata Kama muda utapita kwasababu Hana Tena jeuri ya kutufanya chochote.
Ni muda wa kumnyoosha sasa ile man to man 🤣 maana hana kinga yeyote kwa sasa. Ni raia kama raia wengine tu mwenye kadi ya jela na CCM
 
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Alipewa na raisi cheo cha u DC.nahivo kuwa mwenyekiti jambazi. Sasa hatutaki nchi iendeshwe kwa hisani ya mtu mmpja yaani rais.
Ili mambo yende ni rais tu , asamehe awafutie watu kesi, aamrishe watu wakamatwe, aamuru chama chake kisishindwe uchaguzi! Yaani mihimili mingine inamwangalia tu rais na kucheza kupitia midundo ya ngoma zake na kuitikia koras ya nyimbo zake. Hii ndiyo sababu katiba mpya ni mihimu sanaaaaa
Chadema waliobambikiwa makesi wameachiwa kwa mtindo huu hisani ya rais na sio mahakama, yaani akija raid x polisi wanakamata wakosoaji akija mwingie wanawalinda!
 
Jamhuri imemuachia huru, ni wakati sasa wale wote waliofanyiwa ukatili kujikusanya na kufungua SHAURI, sheria tunazo na zinaruhusu hilo!
 
Eti ametiwa hatiani kwa makosa makubwa 2, then ana achiwa huru! Uki kiri kosa ni umerahisisi hukumu yako tu. Amedhuru uhai na damu za watu. Amesababisha maumivu ya mwili kwa watu wengi sana. Amedhurumu mil 50. Faini mil 5!! Hivi hawa mahakimu wa Kipumbuvu ni Graduate wa Chuo gani?
 
Back
Top Bottom