Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
 
Ujuaji wa Lisu umezidi yeye anajua kila kitu na kila mtu.
 
"Lengai Ole Sabaya sio mkosaji wa kisiasa, Sabaya ni jambazi, na amehukumiwa kwa ujambazi.

Angeshtakiwa kwa yote ambayo aliyoyafanya na ambayo tunayafahamu angekaa gerezani maisha yake yote" TunduALissu,
View attachment 2580784
Kama uhalifu wake unakosa ushahidi basi ni lazima kituo kinachofuata ni "mob justice" tu. Kwa jinsi ninavyowatambua wakazi wa Arusha na Kilimanjaro, hasa watu matajiri, sera zao ni jino kwa jino.

Ngoja tusubiri na tuyaone maisha mapya ya Sabaya baada ya kutoka kolokoloni. Namshauri aondoke mara moja kimakazi na aende kuishi mikoa mingine, hata akapige shule nje ya nchi kwa miaka kadhaa ili kulifanyia jambo hili lipitie kwa njia ya "demage control".

Wahenga husema, "sikio lisikilizalo haliwezi kutengwa na kichwa"
 
Ondoa upuuzi wako hapa. Huyo atakuwa rais wa familia yako labda.
Ninyi wote ni kuzoa kwenye malori ya taka na kutoswa kwenye shimo juu ya mlima Kilimanjaro kuondoa nuksi zenu majizi makubwa. Mmemwonea kijana wa watu halafu mje muachwe tu mkitamba mitaani kwamba mlimkomesha hilo halipo.
 
Shida iko wapi wewe usiyependa watu waridhiane? Ulifurahia sana kuona wenzako wakiumizwa, kwasasa kuna amani unachukia. Wewe ni binadamu mwovu kabisa.
Unaridhiana kwa kitu gani? Kuridhiana kati ya Mbowe na rais siokuridhiana Watanzania kwa hiyo ni kazi bure bado mna safari ndefu sana maana mtalipia gharama zake huko mbeleni
 
Kama uhalifu wake unakosa ushahidi basi ni lazima kituo kinachofuata ni "mob justice" tu. Kwa jinsi ninavyowatambua wakazi wa Arusha na Kilimanjaro, hasa watu matajiri, sera zao ni jino kwa jino.

Ngoja tusubiri na tuyaone maisha mapya ya Sabaya baada ya kutoka kolokoloni. Namshauri aondoke mara moja kimakazi na aende kuishi mikoa mingine, hata akapige shule nje ya nchi kwa miaka kadhaa ili kulifanyia jambo hili lipitie kwa njia ya "demage control".

Wahenga husema, "sikio lisikilizalo haliwezi kutengwa na kichwa"
Atakayeanza kufa ni wewe kabla hujanyanyua mkono wako mark my words with emphasis. Ndio maana kile kinachoitwa maridhiano ni utapeli mtupu na wote mnaojitangaza kushadadia siku yaja mtajuta kwanini mlijidanganya wenyewe badala ya kuwaheshimu Watanzania
 
Maridhiano ni tiba dhidi ya chuki wewe. Kwa arguments zako bila shaka wewe ni sadist.
Maridhiano na nani na kwa kitu gani kilichotendeka? Mambo binafsi msiyafanye ya kitaifa wezi ninyi. Maridhiano wezi kwa wezi kwa kudhulumiana ugali!!!
 
Sabaya huyu ni wa kunyongwa hadi afe. Kama amekiri makosa ni kwa kesi zilizokuwa Mahakamani,hatujamaliza, kuna kesi lukuki zinapelekwa Mahakamani soon. Huyu atafia jela tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Chagga acheni chuki na kijana wa watu!! mbona mnachuki Sana !!!!?mahakama imemuona Hana hatua na kumuachia huru ,itafukia kipindi hata mkipeleka mashtaka mapya mahakama zitaona hizi Sasa ni chuki,na watatupilia mbali mashtaka .
 
Wapenzi wa Sabaya wakitoa yaliyo moyoni,l
Wala sina mapenzi yeyote, nimemfahamu akiwa mahakamani sina chochote kwake, mie hujanielewa tu sisiem hawafungani hata siku moja, huwa na nguvu ya soda kisha huyo, unakumbuka wale wale wazee waliishia kufagia barabara, wewe kapuku usiye mwenzao uone cha mtemakuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom