Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria

Si kweli maana kila Serikalini inalazimika kulinda uhai wa binadamu.
 
Haya wabishi njooni
 
21 August 2024

TANZANIAN GOVERNMENT USING FOOD AS A WEAPON AGAINST ITS CITIZENS


View: https://m.youtube.com/watch?v=ov3Jd148cQc
Food is a weapon of war. Like nuclear weapons, food weaponization can cause massive civilian casualties and unimaginable horrors, prompting moral outrage at the prospect of its use. But unlike nuclear weapons, food weapons are frequently used in war...

The government of Tanzania to counter against the peaceful protest of Ngorongoro indigenous people, it has decided to put road blocks that are leading to Ngorongoro ward to create starvation against the citizens by denying them access to food and water supply. While the protestors have genuine reason to resist forced mass evictions from their ancestral home region.

Video shared on different online platforms are showing the police road blocks on roads going to Ngorongoro, aimed at causing starvation to the Ngorongoro protestors who are numbered in their thousands ..
 
Ni genocide tena against geneva convetion, hili jambo lifanywe kwa hekima too much force litachafua nchi
Utatuzi wa jambo LA Masai linahitaji utulivu wa moyo na hekima ya Mungu ikitumika .
Kifo cha mtu mmoja alienyimwa namna ya kupata chakula kwa Mungu ni kilio kikuu cha Makaika Watakatifu.
 
Masai chakula chake nyama

Hakuna masai anakula ugali wala wali nyama na maharage au pilau hao sio masai ni wasanii wanavaa nguo za kimasai
 
Ngorongoro imekuwa Gaza na Zanzibar imekuwa islaer
 
Dawa ya wapotos Dawa ya wapotoshaji ni Awadh
 
Kura za Wamasai zote watilie CHADEMA.✌️CHADEMA ndio Chama kilicho msitari wa mbele kutetea HAKI za Wamasai.

CCM wamelewa Madaraka wanajiona wao ni miungu watu.
 
ikungi kwao Lissu, dhahabu yao inavunwa na shanta mining na yuko kimya, sianzie huko adai ardhi ya wanyaturu wenzie
 
CHADEMA YAPAZA SAUTI KUPINGA UNYANYASAJI WAKAAZI WA NGORONGORO
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini CHADEMA azungumza undani wa lengo la Kuanzishwa hifadhi ya Ngorongoro lakini lengo hilo kupuuzwa na serikali ya chama dola kongwe CCM ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=XGofXyzWqjE
Kampeni ya kuwahamisha kwa lazima, kutumia chakula kama mkakati wa kivita ni sawa na Almasi za damu (blood diamond) ya Sierra Leone zilipigwa marufuku kuuzwa ulimwenguni, na utalii wa Ngorongoro unaweza kususiwa na watalii wa nchi za kigeni hivyo kuiangusha kampeni ya Royal Tour itakuwa haina maana tena ...

Serikali iache mbinu zake za ubabe na kivita dhidi ya raia wa kitanzania wa Ngorongoro...

Mpango wa muda mrefu wa social engineering kwa miaka 20 unaweza kubadilisha mambo na kufikia malengo ya muda mrefu kuhusu hifadhi ... anabainisha Godbless Lema mwenyekiti wa kanda ya kaskazini CHADEMA ..

Godbless Lema anasisitiza serikali ya CCM haiwezi kufikiria mipango ya muda mrefu ya win win situation badala yake inatengeneza matatizo kwa kukurupuka kwa kuondoa wenyeji halafu mahoteli na majengo yanajengwa ndani ya hifadhi huku yakihitaji wafanyakazi hivyo lengo la kuhamisha binadamu toka hifadhi za Ngorongoro na Serengeti zinakuwa hazina maana kisayansi na mbele ya macho ya wenyeji ....
 
ikungi kwao Lissu, dhahabu yao inavunwa na shanta mining na yuko kimya, sianzie huko adai ardhi ya wanyaturu wenzie
Unataka kutuambia kijiji cha Ikungi kimefutwa kupisha uchimbaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…