Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe.Ni shida sana kumuamini mtu asiye na adabu japo tone
Hii inaweza kuwa mlolongo wa ushahidi wa kesi kwenda The Hague ICC Mahakama ya Kimataifa Uholanzi ambapo Uhuru na Ruto waliponea chupuchupu lakini je makamanda wa polisi wana kinga ya kutoshitakiwa ?
CHAKULA KAMA SILAHA YA KIVITA
Jeshi la Polisi Karatu ladaiwa kuzuia chakula na mizigo kuingia Ngorongoro
View: https://m.youtube.com/watch?v=ov3Jd148cQc
Wananchi wa tarafa ya Ngorongoro ambao wanafanya maandamano ya amani katika tarafa hiyo wamesema kuwa Jeshi la Polisi Karatu linazuia magari yenye mizigo na chakula kuingia Ngorongoro.Wananchi hao wamesema kuwa zoezi hilo limewalenga wao waandamani.
Utatuzi wa jambo LA Masai linahitaji utulivu wa moyo na hekima ya Mungu ikitumika .Ni genocide tena against geneva convetion, hili jambo lifanywe kwa hekima too much force litachafua nchi
Masai chakula chake nyamaLengo la Unyama huu ni kuhakiksha kwamba Wale Masai wanaoandamana kule Ngorongoro hawapati Chakula ili hatimaye wafe njaa.
View attachment 3075738
Wala hili si jambo jipya kwa yanayofanywa kwa Wamasai wa Ngorongoro, Tayari Serikali ya Tanzania ilishaondoa huduma zote za Jamii ikiwemo kulifutilia mbali eneo hilo
PoleKumbe huyu Mchengerwa ni Mkwe wa Rais! Mbona mna siri sana Jamani! Mi ndio najua leo, Daaah!!!
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro.
My take: Kuzuia binadamu asipate mahitaji yake ya muhimu kama chakula, maji, hifadhi (shelter), elimu na afya kwa sababu zozote zile ni hatua mbaya na ya mwisho kwa serikali, Netanyahu alijaribu kwa Wapalestina sijui aliishia wapi.
Dawa ya wapotoshaji ni AwadhKutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro.
My take: Kuzuia binadamu asipate mahitaji yake ya muhimu kama chakula, maji, hifadhi (shelter), elimu na afya kwa sababu zozote zile ni hatua mbaya na ya mwisho kwa serikali, Netanyahu alijaribu kwa Wapalestina sijui aliishia wapi.
EmenMungu mbariki Tundu Antipas Lissu, mpenda haki na katiba.
And vice versa is true.Mungu mbariki Tundu Antipas Lissu, mpenda haki na katiba.
Unataka kutuambia kijiji cha Ikungi kimefutwa kupisha uchimbajiikungi kwao Lissu, dhahabu yao inavunwa na shanta mining na yuko kimya, sianzie huko adai ardhi ya wanyaturu wenzie
Alikuwepo mahita na visu vya CUF leo yuko wapiDawa ya wapotos
Dawa ya wapotoshaji ni Awadh
Yuko wapi? Si alifanikisha lengo lakuwashughulikia CUF? Leo wako wapi?Alikuwepo mahita na visu vya CUF leo yuko wapi