Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria

Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria

Ni vigumu na mbaya LAKINI NIKIKUMBUKA KIFO CHA KIKATILI KILICHOWAHUSU WALE WAFANYABIASHARA YA MADINI KUTOKA MAHENGE WALE NDUGU, KIFO KILICHOMUHUSU YULE MCHIMBAJI WA MADINI KULE LINDI NA KUULIWA KULE KULE MTWARA NINASHINDWA KUACHA KUAMINI KUWA ASKARI POLISI WA NCHI YA TANGANYIKA HAWASHINDWI KUFANYA TUKIO DOGO KAMA HILI.
 
Tayari Serikali ya Tanzania ilishaondoa huduma zote za Jamii ikiwemo kulifutilia mbali eneo hilo

Historia ya makatili huishia vibaya sana, dola inabidi ijitizame maana kwa miongo na karne nyingi zijazo majina ya watawala walioongoza operesheni hizi yataabisha vizazi vyao, kwa makaburi yao kuhamishwa, sanamu zao kuondolewa, mabango na picha pia kupelekwa makumbusho sehemu maalum itakayoonesha historia ya ukweli juu ya ukatili na maafa yaliyotenda enzi ya tawala za kifashisti na kidiktekta


TOKA MAKTABA :
Habari zaidi za historia za tawala za mkono wa chuma kandamizi :
24 Apr 2018
Madrid, Spain
Mihimili ya Bunge na Mahakama za afiki kuweka historia sahihi ya dikteta Jenerali Franco wa Uhispania
Diktekta Jenerali Francisco Franco alitawala taifa hilo la Hispania kwa staili ya utawala wa 'mkono wa chuma' kwa muda wa miaka 39 hadi alipofariki dunia kwa afya dhoofu mwaka 1975.

Katika kipindi chake cha utawala wa Jenerali Franco, watu wengi walipotea ktk mazingira ya utatanishi na wengineo maelfu kufungwa jela kutokana na kuwa na itikadi tofauti za kisiasa zilizokwaza utawala wake.
Diktekta Franco alikuwa na mahusiano ya karibu viongozi wa juu wa kanisa, maana kanisa lilikuwa na ushawishi ktk maisha ya raia na pia kuunga mkono utawala wa kifalme ktk Hispania.

Jenerali Franco katika vita (1936-1939) vya wenyewe kwa wenyewe Hispania iliyoisha mwaka 1939 hakutaka kuona nchi hiyo ikiishia kumeguka ktk majimbo ya Catalonia n.k Hivyo alitumia majeshi kuhakikisha nchi inabakia bila mgawanyiko. Ushindi wa majeshi ya Franco, ulishangiliwa na kubatizwa kuwa ni ushindi dhidi ya wapiganaji wasio na imani ktk uwepo wa Mungu, Ufalme , uzalendo na umoja wa taifa.

Vita hivyo vilisababisha maelfu ya vifo na Diktekta Franco kuja na wazo la Kujenga basilica / makumbusho maalum ktk mfano wa kanisa kuwaenzi waliopoteza maisha ktk vita hivyo vya wenyewe kwa wenyewe.
Katika wosia wake Dikteta Franco, aliomba kuzikwa ktk basilica hilo na wahanga wengine wa vita ili kujibainisha na wafu wengine waliopigania au kufa kutetea taifa hilo la Hispania lisigawanyike.

Hata hivyo miaka 43 baadaye toka kifo cha diktekta huyo, wananchi, mwanaharakati wa haki za binadamu na wanasiasa wameona kuwa ukatili uliofanyika na utawala wake haustahili kusahauliwa.

Hivyo kupitia Bunge na Mahakama wameona kuweka historia sahihi kuwa ktk utawala wa Franco kuna unyama na ukatili mwingi ulitendeka ktk utawala wake uliodumu miaka 39.
Kuhitimisha hilo, hoja ya kufukuliwa mwili wake imepitishwa Bungeni na kutiliwa uzito mahakamani kisheria kuwa Diktekta huyo hastahili kulala ktk makumbusho hayo kutokana na vitendo viovu vilivyofanyika ktk utawala wake wa kiimla.

13 Sept 2018
Mwili wa dikteta Fransico Franco waondolewa kutoka makaburi ya mashujaa nchini Spain, baada ya bunge la Spain kukubaliana kuwa kwa ukatili wa diktekta Franco, mwili wake haustahili kulala ktk makaburi ya mashujaa tajwa wa Spain hivyo ufukuliwe na kwenda kuzikwa sehemu familia ya Francisco Franco itachagua kumhifadhi mtu wa familia yao

Spanish court has for the first time authorised the exhumation of bodies from the Valley of the Fallen. It is a vast mausoleum where the fascist dictator General Franco is buried with thousands of victims of Spain’s 1936 civil war


View: https://m.youtube.com/watch?v=W8IFtfhIy48

All countries have to make choices about what in their history to honor - and who. The Spanish parliament passed a vote today to exhume the body of former dictator Fransisco Franco from a place of honor in a national monument, taking a step away from their fascist past.
 
Lengo la Unyama huu ni kuhakiksha kwamba Wale Masai wanaoandamana kule Ngorongoro hawapati Chakula ili hatimaye wafe njaa.

View attachment 3075738

Wala hili si jambo jipya kwa yanayofanywa kwa Wamasai wa Ngorongoro, Tayari Serikali ya Tanzania ilishaondoa huduma zote za Jamii ikiwemo kulifutilia mbali eneo hilo
Sio Kweli!!
 
Acha upotoshaji ndugu,
hakuna watu wanao ishi ndani ya eneo la hifadhi ya Taifa ya ngorongoro, kwa huyari yao wote walihamia msomera mkoani Tanga :pulpTRAVOLTA:
Unachochea au unafanya unafiki?
 
Acheni kulitangaza hivo, likidakwa nchi yote ina kua black mailed, acheni propaganda tutaumia sote.
NCHI YOTE INAKUWA BLACK MAILED? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ILA SISI VIJANA WA CCM AKILI ZETU ??? MUNGU ATUSAIDIE KWA KWELI. MAANA HATA MALAIKA WAKISOMA HAPA WANATUCHEKA SISI UVCCM.
 
Ngorongoro hawapati Chakula ili hatimaye wafe njaa.

Hii inaweza kuwa mlolongo wa ushahidi wa kesi kwenda The Hague ICC Mahakama ya Kimataifa Uholanzi ambapo Uhuru na Ruto waliponea chupuchupu lakini je makamanda wa polisi wana kinga ya kutoshitakiwa ?

CHAKULA KAMA SILAHA YA KIVITA


Jeshi la Polisi Karatu ladaiwa kuzuia chakula na mizigo kuingia Ngorongoro​


View: https://m.youtube.com/watch?v=ov3Jd148cQc

Wananchi wa tarafa ya Ngorongoro ambao wanafanya maandamano ya amani katika tarafa hiyo wamesema kuwa Jeshi la Polisi Karatu linazuia magari yenye mizigo na chakula kuingia Ngorongoro.Wananchi hao wamesema kuwa zoezi hilo limewalenga wao waandamani.
 
SERIKALI YA TANZANIA KUTUMIA CHAKULA KAMA SILAHA YA KIVITA DHIDI YA RAIA WAKE

Chakula ni silaha ya vita. Kama vile silaha za nyuklia, utumiaji silaha wa chakula unaweza kusababisha vifo vingi vya raia na mambo ya kutisha yasiyofikirika, na hivyo kusababisha hasira ya kiadili kwa matarajio ya matumizi yake. Lakini tofauti na silaha za nyuklia, silaha za chakula hutumiwa mara kwa mara katika vita...

Food is a weapon of war. Like nuclear weapons, the weaponization of food can bring about mass civilian deaths and unthinkable horrors, provoking rightful moral outrage at the prospect of its use. But unlike nuclear weapons, food weaponization is routinely used in warfare...
 
Bahati nzuri 2025 Samia ataondoshwa ikulu, halafu mtanganyika akishika usukani ataifuta Zanzibar ili ibakie kuwa mazalia ya samaki na mwani.
Kama sio leo kuna siku inakuja Zanzibar itakuwa moja ya wilaya za Dar
 
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP
Kupitia umoja wa mataifa UN baraza la usalama na baraza kuu la UN imepiga marufuku kutumia chakula kama silaha ya kivita.

Tanzania ni mwanachama wa kudumu wa Umoja wa Mataifa na imesaini makubaliano hayo na Azimio la Umoja wa Mataifa ya kutotumia chakula kama silaha ya kivita..

Sasa huko Karatu na Ngorongoro nchi ya Tanzania inakiuka maazimio ya Umoja wa Mataifa, hivyo wadau kama UN, WFP, FAO, EU / UMOJA WA ULAYA, wadau wa maendeleo kama nchi kubwa za Marekani ya Kaskazini, Ulaya zinaweza kuchukua hatua dhidi ya ....

World Food Programme (WFP)
www.wfp.org › stories › un-barre...
The day the UN barred using hunger and starvation as weapons of war

24 May 2022 — The day the UN barred using hunger and starvation as weapons of war · Ukraine: 'Failure to open Black Sea ports....
 
Back
Top Bottom