mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
mama. 0 brain uwa hawafanikiwi kwenye mipango Yao.Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Seriously well informed kuwa Makonda alikuwa Dodoma siku anapigwa?Unafikiri hao watumishi wana roho mbaya kama yako? Kwa taarifa yako, hata ndani ya CCM na serikalini, kuna watu wengi sana hawakufurahishwa na huu unyama. Anapewa taarifa za ndani na watu wa ndani kabisa. Na siyo rahisi kujua ni nani hao. Na siku zinavyozidi kwenda ndivyo informers wake wanavyozidi kuongezeka. He is well informed na ana reserve some information ili informers wake wasijulikane. Hizo anazozitoa ni dondoo tu. Soon we gonna speak the same language.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hatakiwi kuongea kwa hisia? Mbona wewe umeandika kwa hisia? Msituchanganye hata mahakamani kuna kitu kinaitwa "circumstancial evidence"! Jibuni maswali yake: Kwanini mliondoa wale askari langoni kabla ya kushambuliwa, na kwanini mliondoa CCTV kamera kwenye nyumba ya Kalemani baada ya kushambuliwa?Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
JF great thinker - leta hiyo unayosema sio circumstantial au fact. Tundu Lissu hajajibiwa hata hoja moja. Lumumba wanatumia spinning tactics za 1940s. Jibu maswali ya msingi. 1. Nani aliamuru walinzi kutoka Lindoni ili wapiga risasi waingie kufanya yao. na Ziko records za CCTV na kwanini cctv cameras ziliondolewa. Msukumo gani unakataza asilipiwe matibabu wakati katibu wa afya , spika na waziri wa afya walikuwepo kwenye maamuzi ya kwenda Nairobi na walikubali kwa msisitizo wa katibu wa afya.Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Kweli kabisa. Kama ana ushahidi (hata kama ni circumstantial) aende mahakamani. Roman-Dutch law inayotumika Tanzania inapokea circumstantial evidence; mradi tu huo ushahidi uwe wa kuaminika beyond reasonable doubt. Kusema Makonda alikuwa Dodoma hakutoshi. Kwani ni yeye peke yake aliyekuwa Dodoma kiasi kwamba kitendo cho chote kilichotendeka ni budi kiunganishwe naye kwa kuwa hakukuwa na mtu mwingine wa kukifanya?Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Hata wasiojulikana wamemchoka jiwe
Hata wao wanaweza pima uzito wa kazi
Ingawa ni wajibu kutekeleza amri
Sent using Jamii Forums mobile app
SwadaktaNa polisi waliotakiwa kuwepo lindo hawajawahi kuhojiwa walikuwa wapi wakati wa tukio au kuwajibishwa kwa kutoonekana sehem ya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui kitu inaitwa circumstancial evidence!Mbona facts ameziweka wazi tuu! Au wewe unayako mengine? Kama unapingana na aliyoyasema lisu basi toa vigezo vyako vitakavyopingana na maelezo ya.majeruhi mhusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
V8 lililokuwa linakuja mdogo mdogokwa maana hiyo TL anamaana ya kwamba kati ya zile gari 2,huenda naibu alikuwepo aidha kwenye Nissan kushuhudia shambulizi.!?
naibu aweza kuwa alishuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya kupokea report,kwanini Makonda alikuwa Dodoma?Yaani hapo ndio unaona umuhimu wa wachunguzi huru,hii ni circumstancial evidense!Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.
Umeumia Paul makonda kutajwa?? Km hamtahadhibiwa hapa duniani Mungu hatawahachaInasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Umayowe wake ndio unaowakosesha usingizi kwa kumjadili yeye hujui tu kama hata nyinyi mnamkubali ila tu uchuki wenu wa kimalayamalaya unawatia kiwewe.Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu lisemwalo lipo na nina asilimia nyingi za kukuamini according na yaendeleayo, maana kiitifaki wanaotakiwa kuongea na kujibu hoja za lissu wao hawapo but wamekua frontline as if yule mbunge wao.Mkuu ni kweli taarifa zao ninazo mapema kwa Bahati nzuri huyo misri wa Maliyamungu Bashite yaani Le mutuz ni mtu wa kupenda michepuko tulimpenyezea michepuko kazaa ikawa inampelekeza na kumsikiliza kwa umakini pindi apoongea tukapata taarifa nyingi sana pasipo wao kujua na pia taarifa zingine zilivuja kupitia jerry muro na cyprian Musiba ambao pia ni wadhaifu huku taarifa za Bashite mwenyewe zikivuja kwa njia za kisayansi zaidi pamoja na wapambe wake kujisahau wakaropoka, nikitulia nitakupa mipango yao mpiya wanayopanga kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa TFF utashangaa kama siyo kuzimia