Mkuu serious! Umepewa agizo ukatekeleze halafu unafanya vile? 38 bullets ? Hivi kweli unaweza kuwa na mafunzo yoyote ya maana, Ilikuwa nini hasira? Uzembe? Hofu..? Mi nadhani kwa mtu aliyepitia mafunzo sahihi hawezi kuwa na uzembe kiasi hicho kwa sabbu matokeo ya Uzembe wake yanaweza kuwa makubwa mara dufu..
Kwa hali ile ina maana dereva wa TL alikuwa na mafunzo zaidi ya waliotumwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hujawaona wanaopiga mayowe au buku7 zimekulevya!Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Tulikatazwa kusoma albadir mheshimiwa Lissu
Kuna waliovaa T-shirts wakiwa wanasali wakatimuliwa na FFU kwa amri ya Bashite.
Si wote wanapendezwa na ukatili wa kijinga, wengine hawataki kusikia kabisa wala kuona damu inamwagika.Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna waliovaa T-shirts wakiwa wanasali wakatimuliwa na FFU kwa amri ya Bashite.
Yani itokee Rais afie ikulu kama ilivyopata kutokea malawi na Zambia ujue kabla ya kuzika Maliyamungu Bashite atahama Nchi maana hata CCM wenzake hawamtaki wanamchukia sana na wamempania sana wanasubiria upenyo wowote ule wamunyooshemzee wa kulia lia kanisani.
ndo maana baba ake anamkumbatia Sanaa.
maana akimfukuza tu.watajulikana haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe peke yako kilaza unayemwabudu Maliyamungu Bashite ndiye utaona Udaku lakini wenye Uelewa mpana wasio wajinga kama wewe wanajua Oparation yote ya kumshambulia Tundu Lisu iliratibiwa na kutekelezwa na Maliyamungu Bashite kwa Amri toka kwa mtukufu malaika toka chato.Seriously well informed kuwa Makonda alikuwa Dodoma siku anapigwa?
Pure udaku...
Huyu mpiga ramli hana Mtu nyeti wala Nyeti yenyewe kutoka Serikalini inayompa taarifa nyeti ni ubabaishaji tu na ukanjanja, kama kweli ameshapata watesi wake kutoka kwa mnyetishaji wake aende mahakani direct akafungue shauri, sasa ya nini kulialia na kubweka bweka ovyo ovyo wakati tayari anavyo vyanzo vya kuaminika
Sent using Jamii Forums mobile app
Washambuliaji walipofika Dodoma kwa mujibu wa Le mutuz walimwambia Bashite kuwa waache kwa kuwa hapajakaa vizuri lakini Bashite akagoma na kutoa Amri shambulio lifanyike, ndipo wakashambulia kwa pupa papara pasipo mbinu za mashambulizi kutumika kwa maana ingine mtoa Amri hana uzoefu yeye alitumia chuki binafsi kutekeleza shambulio siyo ujuzi wa kijeshiMkuu serious! Umepewa agizo ukatekeleze halafu unafanya vile? 38 bullets ? Hivi kweli unaweza kuwa na mafunzo yoyote ya maana, Ilikuwa nini hasira? Uzembe? Hofu..? Mi nadhani kwa mtu aliyepitia mafunzo sahihi hawezi kuwa na uzembe kiasi hicho kwa sabbu matokeo ya Uzembe wake yanaweza kuwa makubwa mara dufu..
Kwa hali ile ina maana dereva wa TL alikuwa na mafunzo zaidi ya waliotumwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kielelezo kuwa Bashite na mtukufu malaika toka chato ndiyo walitaka Tundu Lisu afe
Punguza hasira wewe kijibwa, najua una uchungu kuliko uchungu wa Mama mja mzito pia Tundu vivo hivyo ameamua arefresh mind kwa kupakatwa Ughaibuni kwa kupumuliwa na whitemen nawe kama hutojari karefresh the same to your boss kwani ni sehemu ya ajenda ya chama chenu, ni wajibu na haki yenu but hacheni kupiga ramli juu ya Shambulizi
Sent using Jamii Forums mobile app