Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Hata sasa moyoni mwangu namtukuza Mungu kwa kumuokoa Tundu Lisu zidi ya kifo na kaburi!
Mungu amekataa kabisa Tundu Lisu kufa!
Ni Mungu pekee!
Mungu unatisha wewe!




Sent using Jamii Forums mobile app

Tuendelee kumuombea sana kwa mungu amuepushe na shambulio la pili ambalo limeandaliwa na Mwenyekiti wa TFF na Bashite ambapo Mwenyekiti wa TFF kaenda nyumbani kwao Somalia kuwachukua Magaidi wa Alshabab wapo nyumbani kwake huko Dsm wanafanya Mazoezi na kuijua mitaa ya Dsm mazingira wakisubiria arejee tu waje kumteketeza ni vyema chadema waanze kuwa makini na Mwenyekiti wa TFF kwani ni mtu hatari kwa usitawi wa chadema kwa sasa.
 

Mfano sasa siri za Mwenyekiti wa TFF dhidi ya kumshambulia Tundu Lisu zimevuja kupitia le mutuz na cyprian Musiba ni kweli hakuna siri isiyovuja
 


Lissu sema ukweli wako kijana, ulikuwa unatembea na mke wa mtu na ukawa unawindwa na mwenye mali
 
kiongozi sio sisi, sisi ni watu wema wa Mungu baba wa mbingun, lakini Mtoto mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, Tundu kama Bindamu anaishi na watu wanaompenda kama wewe na wanaomchukia ndani na nje ya familia lakini mkianza kupiga ramli ovyo ovyo ndipo naona mmekuwa wendawazimu kwani aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu endelea na ujasiri huo ila hakuna kitu kitakuja kunitoka akilini kama mauaji ya Kamanda Mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa kwa ID nyingine si ndo unajiita.. "ushuzi" ? sio kila mtu anaangukia kwenye mtazamo wako ndugu. Upo Marekani endelea na maisha yako ya huko USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa kwa ID nyingine si ndo unajiita.. "ushuzi" ? sio kila mtu anaangukia kwenye mtazamo wako ndugu. Upo Marekani endelea na maisha yako ya huko USA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtizamo upi? Yaani Bashite kwenda huko Dodoma kumpiga Risasi Tundu Lisu ni mtizamo wangu? Mie sina ID ingine zaidi ya hii yangu na siipo Marekani nipo Canada karibuni sana huku uje tukupe siri nyingi ikiwemo mipango ya Mwenyekiti wa TFF
 
Mbowe alisema waje wachunguzi neutral from a well recognized deep profiled firm kuchunguza ni nani mhusika, serikali ikakacha.
FBI waliopo ubalozi wa Marekani huko Tanzania walichunguza kwa siri kimya kimya ndiyo waliobaini uhusika wa Bashite Maliyamungu
 
Naweza kusadiki haya
Shambulio lilikua la hovyo sana

Hata wauwaji nadhani hawakupenda na isipokua walitekeleza amri

Tushukuru Mungu anaweza kukuepusha kwa namna nyingi hata ukipata jeraha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru Ally yupo sahihi kabisa. Jamaa anadeka kama mtoto mdogo. Makonda kuwa Dodoma imekuwa nongwa!!.

Kuna watu wamekufa Kibiti na Rufiji bila ya hatia yoyote ile, ina maana Makonda nae alikuwa maeneo hayo wakati wanapigwa risasi!!.

Unalalamika hakuna aliyekujulia hali ukiwa Nairobi, umesahau kwamba makamu wa rais alikuja kukupa pole!!.

Wenye akili zenye kufanya kazi vizuri wanaweza kuchambua pumba ni zipi na mchele halisi ni upi.
 
Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Kisaikolojia Lissu hayupo sawa, zile risasi ni nyingi, lile tukio inaonyesha lilikuwa la kutisha sana.
 
u
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
unataka fact gani zaidi ya kuuliza kwann na nani aliondoa walinzi? kwanini cctv camera imeondolewa? kwanini hajalipiwa gharama za matibabu? kwanini watu wamepokwa mpaka ubalozi kwa kwenda kumuona? hujui maana ya fact kaa kimya
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Kaka usiongee kama bata uonekane unaongea tu. Kwani hufahamu kuwa kuna ushahidi wa Kimazingira na unamfunga mtu? Mazingira yenyewe tu yanatosha kujua nani alitaka kumuua. Mbona mnajifanya vipofu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…