Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Yale aliyoyapitia kama maumivu makali, bed rest ya muda mrefu, operesheni za kutoaha hamuwezi kuona amepitia mangapi nyie kazi yenu ni kuropoka tu kwenye mitandao shame hasa kwa wanaume kama wewe
 
Leo mnataka makonda ahojiwe wakati dereva mmemficha mile 800000000 ambaye ndiye angetoa ushuhuda wa tukio lilivyokuwa,usiseme ingkuwaje kama dereva angekufa..dereva hakufa na hajafa.
 
Ni suala la mda tu kabla bashite na magufuli hawajaanikwa hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mara ngapi makonda kaenda dodoma au mara ngapi magu kayaponda majizi na mahaini kwa maneno?
Au nyie mnaona hiyo aliyotandikwa risasi tu?

Ni hivi, hao ndio wahusika fullstop.
 
Lisu ataongelea Sana kuhusu shambulizi lake mwisho wa siku atakosa Cha kuongea Sasa hivi hoja aliyonayo NI shambulizi na serikali ya magufuli. Habari hizi zimeteka Sana media lakini zinaenda kufa kibudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya. Walikula nyama ya saa 8 ya Lissu imewashinda sasa lazima wavune walicho kipanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…