ila hazifiki kama za huyo bwege na pia sio mropokaji kama huyo fala wenu anayetafuta wa kumuoa huko ulaya.Acha ungese umevuta Bangi zako ukazani ukija na kisingizio chako cha kishamba toka kolomije utaeleweka mbona Ndungai alijazwa nusu kaputi huko India miezi kibao lakini sasa ndiyo mnamtumia huko bungeni kuwanyanyasa Wapinzani?
Swali lakujiuliza nimojatuu. Ambalo ni.. Hivi CCTV camera huwa zina kuwa controlled na nani? Hakuna saver ambayo ni kama motherboard kwa maana ya ikotoke shida kubwa eneo ambalo zimefungwa hakuna access yoyote? Ushahidi utakuwa umepotea? Na kama ipo basi kilakitu kinajulikana is a matter of time.Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wasiojulikana wamemchoka jiweHalafu hao ndo wanaotafuta ajira serikalini..
Hata tukio lenyewe bado linaacha maswali kama mtekelezaji au aliyetumwa kufanya hiyo operation.
1: walitumwa kumfuatilia wakaona anawasumbua kwa uvivu wakaamua kufanya maamuzi yao. ! ( kupiga) kama tujuavyo kwenye gari nyingi za vyombo maalumu silaha hazikosekani . Kama hivyo ndivyo basi wanaowajibika ni wao wenyewe!
2:walitumwa kumzimisha halafu kutokana na ama huruma au uzembe wakashindwakutimiza kusudio maana yake aliyetumwa sio mtu sahihi, ama hajui kazi yake sawasawa.
Hapa pia yupo anayewajibika ama kuwajibishwa.
3: wale waliobanwa kwenye kona ya St peters wakimfuatilia mmoja alikimbia mwingine alibaki akahojiwa na TL, je alisema nini? Na ni yepi yalikuwa mazungumzo yao.? Ama makubaliano yao? (Siri).
Kwanini isiwe kuwa ndio huyu anayempa TL taarifa zote muhimu.
4: kama TISS wanaweza kuwekewa mtego kiurahisi tu na Tundu Lissu wakanasa je wanaweza kuaminiwa kwa mission nyingine kubwa bila kufeli?
5: Je, tuna uhakika watu wote walio TISS au polisi nu watu sahihi wenye ujuzi na uwezo stahiki.,? Au ni wale waliopata kazi kwa migongo ya wajomba na shangazi zao kisha leo wanatumika kulilpa fadhira?
Mwisho;
Iwe kusudi uzembe au bahati mbaya kwa tukio la TL kuna mtu ama watu wanatakiwa kuwajibishwa haraka, wao na mtandao wao wote, kabla hawajaleta madhara zaidi kwa Taifa hili.
Naamini aliyetekeleza tukio lile yupo na anasoma kinachoendele kwenye mitandao ya kijamii. Kunya unye wewe harufu uwapakaze wengine..[emoji53][emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia reference za vijiweni na udakuKuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan wakitajwa kuna nn kitatokea...ushabiki huwa unafanya watu kuwa wendawazimu kumbe........lisu ni nani bhana kila siku yeye tuuuu
Anatumia reference za vijiweni na udaku
Adui namba moja wa Tundu Lisu ni Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Maliyamungu Bashite mwenye Roho mbaya kama ya Iddy Amin dada
Hivyo vyanzo vyake ndani kutoka hizo sehemu Nyeti ulizozitaja vilishindwa kumtonya kuhusu mipango ya shambulizi juu ya uhai wake!? Acheni Uzandiki makamanda. BwahahahahahahahahKuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo ushakubali kuwa hizo taarifa ni za kweli.... Ila Tatizo ni mtoaji taarifa!!?Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachosema ni kuwa Bashite alikuwa Dom kuhakijisha kuwa mission is accomplished.....!!Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Ina Maana watu wote waliokuwa Dodoma siku Mhaini anatandikwa risasi ni wahusika wa hilo tukio mkuu!?Lakini ni ya kweli haya! Kwani paul makonda hakuwa Dodoma ? Kwani magufuli hakuyasema hayo aliyonukuliwa? Ukweli.siku zote utakuwa ukweli tu. Kwenye nchi zilizo na utawala wa kisheria, kwa kutoa kauli ile magufuli ilitakiwa ahojiwe na vyo ulinzi na usalama kama sehemu ya uchunguzi. Circumstantial evodences / na au theory ktk maswala haya ni ushahidi tosha wa kuwahoji makonda na magufuli. Makonda aelezee je ni kweli kuwa alikuwa dodoma siku ya tukio la mh lisu na pili aeleeze ni kweli alionekana akifanya mazoezi morogoro siku iliyofuata baada ya tukio?. Haya yote yanaweza kuwa siyo mambo mabaya kwa makonda lakini yalitakiwa yatolewe maelezo ya kipolisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Ndiyo maana huyo unayemuita mhaini, mimi namwita mhanga hakuwataja watu wotee waliokuwa dom siku ile. Kawataja watu 2 ambao wewe unawajuwa. Hivi kigezo cha mtu mhaini ni kipi vile? Nimesahau kidogo. Nielimishe tafadhali.Ina Maana watu wote waliokuwa Dodoma siku Mhaini anatandikwa risasi ni wahusika wa hilo tukio mkuu!?
Mbowe anaendeleaje na hali huko Segerea Resort kamanda!?Hapana. Ndiyo maana huyo unayemuita mhaini, mimi namwita mhanga hakuwataja watu wotee waliokuwa dom siku ile. Kawataja watu 2 ambao wewe unawajuwa. Hivi kigezo cha mtu mhaini ni kipi vile? Nimesahau kidogo. Nielimishe tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi wa TFF ana jibu zuri...Kwa hiyo yeye ndio yule msaliti? Yeye ndio yule aliekuwa anapiga kelele?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbweha acha ungese wako kama siyo Maliyamungu Bashite kumpiga Risasi leo hii angekuwa huko ulaya? aliyekupa mimba ukazaa njiti ndiye aliyempiga Risasi Tundu Lisu na kusababisha awepo huko alipo acheni ushamba wa kipumbavu yaani nyie ndiyo chanzo cha yote na sasa mmekuwa chanzo cha kumyamazisha tena?ila hazifiki kama za huyo bwege na pia sio mropokaji kama huyo fala wenu anayetafuta wa kumuoa huko ulaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe anaendeleaje na hali huko Segerea Resort kamanda!?
Wewe jamaa nadhani ndiye jf user mwenye akili ndogo kuliko watu wote humuHuyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Maana yake mshachokwaKuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbweha ulikuwa wapi wakati Tundu Lisu anatangaza kuwa kuna Gari huwa linanamfuatilia mara nyingi na akazitaja hadi namba zake, Tatizo umeshika mimba hapo gheto ujui ni ya nani maana unawachanganya cyprian Musiba na Le mutuz mpaka umejitoa fahamu zote umebakiza kamasi tupu kichwaniHivyo vyanzo vyake ndani kutoka hizo sehemu Nyeti ulizozitaja vilishindwa kumtonya kuhusu mipango ya shambulizi juu ya uhai wake!? Acheni Uzandiki makamanda. Bwahahahahahahahah