Nilikuwa nakupelekea moto wa Oryx pale Namnani kwani umesahau!?Wewe mbweha ulikuwa wapi wakati Tundu Lisu anatangaza kuwa kuna Gari huwa linanamfuatilia mara nyingi na akazitaja hadi namba zake, Tatizo umeshika mimba hapo gheto ujui ni ya nani maana unawachanganya cyprian Musiba na Le mutuz mpaka umejitoa fahamu zote umebakiza kamasi tupu kichwani
Kwa maana hiyo ushakubali kuwa hizo taarifa ni za kweli.... Ila Tatizo ni mtoaji taarifa!!?
Nilikuwa nakupelekea moto wa Oryx pale Namnani kwani umesahau!?
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?[/QUOTE]
Kuwa mpole mkuu, Jipe muda atafika huko
Hapa anawatesa kisaikolojia kwanza
Mkuu nikikuona naanza kuogopa kukusoma.. mara ya kwanza uliwataja hawa watu kabla hata tundu lisu hajaanza ziara zake na katika uliowataja mpaka sasa watatu wameshajitokeza hadharani na kutoa neno ambalo si jema juu yake wengine kudiriki kusema anyongwe mwingine kaja na la kutaka kumfungulia kesi ya uhaini ila kikubwa huyu bwana aliyetwa na yeye mwenyewe kuta lisu arudi faster... naanza kukuogopa mkuu ila si kwamba unanitishs, hapana. Ni namna inavyoweza kuthubutu kuuanika uovu.Wewe mbweha ulikuwa wapi wakati Tundu Lisu anatangaza kuwa kuna Gari huwa linanamfuatilia mara nyingi na akazitaja hadi namba zake, Tatizo umeshika mimba hapo gheto ujui ni ya nani maana unawachanganya cyprian Musiba na Le mutuz mpaka umejitoa fahamu zote umebakiza kamasi tupu kichwani
Wewe utakuwa wa long time kutamka neno mchecheto ni zile enzi za mambo digilii
Bwahahahaha...just Bwahahahaha!Moto upi acha kujishaua kijijini kwenyewe umetoka juzi huko kolomije ulotoa mimba kibao za wana vijiji nimetoka Dsm kuhamia huku canada wewe ukiwa bado fala kule kolomije ingawa sasa umepakatwa na cyprian Musiba unajidai mjanja.
Bashite ametumia zaidi ya bilion kuagiza waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali kwa kumtuma Lr mutuz kwenda kuwachukua huko na week hii Le mutuz katokea Africa ya kati kuchukua waganga watano kuungana na waganga wengine 65 waliopo Dsm wakiamini watawasaidia kumnyamazisha Tundu LisuBASHITE akiunganishwa kwenye lie detector test machine, na akiuliza swali kwamba lipanga mauaji ya Tunu LISSU atakuwa amekwisha
Nilikutag mapema sana baada ya kusikia Lissu kwa mdomo wake akilitaja jina la mwana mfalmeBashite ametumia zaidi ya bilion kuagiza waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali kwa kumtuma Lr mutuz kwenda kuwachukua huko na week hii Le mutuz katokea Africa ya kati kuchukua waganga watano kuungana na waganga wengine 65 waliopo Dsm wakiamini watawasaidia kumnyamazisha Tundu Lisu
Mkuu nikikuona naanza kuogopa kukusoma.. mara ya kwanza uliwataja hawa watu kabla hata tundu lisu hajaanza ziara zake na katika uliowataja mpaka sasa watatu wameshajitokeza hadharani na kutoa neno ambalo si jema juu yake wengine kudiriki kusema anyongwe mwingine kaja na la kutaka kumfungulia kesi ya uhaini ila kikubwa huyu bwana aliyetwa na yeye mwenyewe kuta lisu arudi faster... naanza kukuogopa mkuu ila si kwamba unanitishs, hapana. Ni namna inavyoweza kuthubutu kuuanika uovu.
Tusaidie hivyo hivyo ndugu yangu issue ya lissu itaokoa ihai wa marehem watarajiwa wa maksudi wengi sana kwa sasa nina kaimani hatutasikia mtu katekwa mpaka uchaguzi ujao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mtu akiwa mwanasheria ni marufuku kuwa na hisia.FYI:Huo ni mwanzo tu.Tumia akili.Kuna kitu anataka kukuelezeni ninyi wapumbavu mnashindwa kutulia mumuelewe.Hizo ni "dots" tu.Mtaelewa hata kwa nguvu.Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Wala kusali kwa pamojaTulikatazwa kusoma albadir mheshimiwa Lissu
daaah.Tayari wa kwanza kishatajwa.... Mpaka tutawajua wote walihusika na mchongo huu
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA ROHO MBAYA.Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.