GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"

Hayo maneno yote yanasaidia nini, mwanaume si atulie analialia nini. Hiyo kuoneshwa live ni makosa ameifanya jukwaa la kufanya siasa na kuomba public sympathy, kwanini ni kesi tu na mbn zingine hazioneshwi mbashara?
 
Nampongeza Heche kwa kupeleka Tshirt za Tundu Lissu kwa fundi cherehani ili zipunguzwe baada ya kukaa mahabusu na kukonda, mara ya mwisho alivaa Tshirt kubwa
mwanaume kama wewe unayetegemewa na wazazi wako kumbe wasilolijua na wewe unategemea wanaume wa ccm wakushike makalio uje jf kuongea ujinga.
 
mwanaume kama wewe unayetegemewa na wazazi wako kumbe wasilolijua na wewe unategemea wanaume wa ccm wakushike makalio uje jf kuongea ujinga.
Mi siwezi kuwategemea majizi ya Ccm wala kuwa Nyumbu wa Chadema kama wewe
 
Wamempa platform na ameitumia inavyostahili. Hii kesi imemjenga kuliko kumharibia. Amepata nafasi ya ku "speak truth to power". Optics za defiance huku amezungukwa na askari walioficha sura zinaendana na msimamo wa Robert Nesta Marley. Wamwachie tu.

Amandla...
Tuliza makalio hayo ni mawazo yako
 
Hayo maneno yote yanasaidia nini, mwanaume si atulie analialia nini. Hiyo kuoneshwa live ni makosa ameifanya jukwaa la kufanya siasa na kuomba public sympathy, kwanini ni kesi tu na mbn zingine hazioneshwi mbashara?
Hakuna alipoomba public sympathy. Kuikumbusha mahakama kuhusiana na mamlaka yake na kuzuia isitumike kuumiza watu hiyo siyo kuomba public sympathy
 
Wamempa platform na ameitumia inavyostahili. Hii kesi imemjenga kuliko kumharibia. Amepata nafasi ya ku "speak truth to power". Optics za defiance huku amezungukwa na askari walioficha sura zinaendana na msimamo wa Robert Nesta Marley. Wamwachie tu.

Amandla...
Robert Nesta Marley my broza!
 
Write your reply...ila kale kawakili ka serikali kamchakachua lissu hadi kapaniki
 
Naelewa maana ya kudereva siyo kukonda
Majaaji na Mahakimu wanazingua wamepigwa roba ya mbao na Serikali ila hapa wenyewe wanajua wanamzingua tu Lissu nothing else
 
Back
Top Bottom