GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ila hii nchi fukara ina matatizo sana. Hebu ona hao maaskari 2 walioziba sura na juu wamevaa kofia kama mabakuri ya uji. Ulaya huwezi kuona upuuzi kama huo Mahakamani. Hata kesi ya Slobodan Milosevic hawakuvaa hivi.
 
Hayo maneno yote yanasaidia nini, mwanaume si atulie analialia nini. Hiyo kuoneshwa live ni makosa ameifanya jukwaa la kufanya siasa na kuomba public sympathy, kwanini ni kesi tu na mbn zingine hazioneshwi mbashara?
Lissu ni Simba haswaa, mtu-na-nusu kabisa. Wewe humfikii hata robo yake. Na ukoo wenu wote hakuna mwenye uwezo na ujasiri wa Lissu, na hamtakuja mpate wa hivyo.
 
Leo kaelemewa sana kisheria amebaki kuomba huruma ya mahakama.bahati mbaya mahakama haifanyi kazi kwa huruma bali sheria
Kulikuwa kuna kesi nyingine unaangalia pekeyako tofauti na hii ambayo dunia nzima ilikuwa inaangalia mjinga wao?

Kama ni hivyo basi punguza "recreational substances" unazotumia.

Lissu kosa kubwa walilofanya ni kumpa nafasi ya kujitetea hiyo imexpose impunity iliyopo kwenye judiciary na hao mawakili wa serikali imetupa picha kwanini tunashindwa kesi kule ICSID.
 
Leo kaelemewa sana kisheria amebaki kuomba huruma ya mahakama.bahati mbaya mahakama haifanyi kazi kwa huruma bali sheria
Nadhani wewe ndiye unalazimisha hilo neno,, "HURUMA" mwenyewe amegoma na amelikataa. Chuki kawaida haijifichi.
 
Mimi ningekuwa Tundu Lissu ningegoma kwenda mahakamani, ningewaacha wao wahukumu vile wanavyoona inafaa, ni kusumbuana tu, mahakama zenyewe zimekuwq zinatumiwa na wahuni, kiufupi hatuna mahakama siku hizi, mahakimu na majaji wote wanafata maelekezo ya mwenyekiti wa CCM. Mahakama zetu ni sehemu za kukomoa watu na sio kutoa haki tena. SHAME.
 
Back
Top Bottom