residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Polepole huyu huyu aliyesema hakuna haja ya kuwa na ma DC jana,halafu leo akapewa u DC na kuukubali!!!??Polepole alishafunga mjadala wa hili jambo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polepole huyu huyu aliyesema hakuna haja ya kuwa na ma DC jana,halafu leo akapewa u DC na kuukubali!!!??Polepole alishafunga mjadala wa hili jambo!
Mkuu ikitokea tumeunga dot. Nitafunga mtaa huku kwa kigodoroKuna uzi 1 sijui ushapotezwa,anauliziwa mzee mbona hajaonekana church leo
Sasa sijui tuunge dot
Mwache aongeze kwa nini una wasiwasi naye sana?Ka Magufuli angekuwa hataki kuongeza muda, hakika hakuna mwanaCCM angepanua mdomo wake kulinena hilo. Kila mwenye akili anajua kuwa hili linasemwa semwa sana kwa sababu yeye anapenda iwe hivyo.
Tupo NJIA PANDA huyu Kamanda KWELI kateuliwa balozi wa 'Mashoga . Sasa ni wakati muafaka aidha akanushe au awake wazi......!; afanye hicho tu..ili na Sisi tuweke msimamo wetu..!How old are you?
Lissu na wapinzani waliishiwa sera muda mrefu toka uncle Magu akamate nchi.
Kinachotokea ni vitone vya kutapatapa vya hapa na pale ili angalau wasikike hata kwa kuongea pumba.
Vigumu kuwaaini.Polepole alishafunga mjadala wa hili jambo!
Ningependa sana aendelee ili nipate kuona mwisho wa Wananchi wa Jamhuri kuhusu huyu Mkulu. Shikilia hapo hapo, hakuna jasiri wala ujasiri naona kipindi cha utawala wake kuna jamii kashikilia ndeke zao hawapumui.True... Maswala ya Kingereza chake Kila Siku anatolea ufafanuzi ila hili kalikslia kimya kawaachia akina Polepole. No wonder Bashiru katolewa pale kiaina.
Hasbunallah! kumbe mahasidi wa nchi hii wako wengi! Mungu atatunusuru hili halitatokea inshaAllah.Sisi watz tulio wengi tunataka aemdelee mpaka atakapochoka mwenyewe! Mjiandaa kisaikorojia.
Hahaha hahaIsarael mtoa roho ataliponya taifa. Acha aendelee kuweka tamaa mbele lkn akumbuke Israel mtoa roho hajalala.
Sisi Watanzania hatujakutuma utusemeeSisi watz tulio wengi tunataka aemdelee mpaka atakapochoka mwenyewe! Mjiandaa kisaikorojia.