Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

Isarael mtoa roho ataliponya taifa. Acha aendelee kuweka tamaa mbele lkn akumbuke Israel mtoa roho hajalala.

kumbe wewe mwenzetu kazi ya israel haikuhusu kabisa
 
Wewe Nyani nimeamini kweli ni Msukusi huu unoko wako ni zaidi wa Manjaa Pasco
Inapofika swala la Jiwe kuongeza muda unapinga sana na kuanzisha threads ooh Lisu kasema
Ukweli ni Wewe Nyani Msukuma uliye against na nduguyo kwa hili
Wana Jf fungukeni macho hili Sukusi ni balaa lingine tena nafiki sana
Nyerere alituasa kuna makabila hatari kwa uongozi
 
Unajuaje kuwa ni mawazo yangu ambayo nimetumia mgongo wa Lissu kuyawasilisha?

Nilikuambia hivyo?
 
Wewe Nyani nimeamini kweli ni Msukusi huu unoko wako ni zaidi wa Manjaa Pasco
Inapofika swala la Jiwe kuongeza muda unapinga sana na kuanzisha threads ooh Lisu kasema
Ukweli ni Wewe Nyani Msukuma uliye against na nduguyo kwa hili
Wana Jf fungukeni macho hili Sukusi ni balaa lingine tena nafiki sana
Unajuaje kuwa ni mawazo yangu ambayo nimetumia mgongo wa Lissu kuyawasilisha?

Nilikuambia hivyo?
Aibu yako mnaa
Sisi huku bongo tunaingia vitandani wewe amka kabebe maboksi huko
 
Ukisema kuwa kufikia 2025 Tanzania itakuwa haina 'wanyonge' tena, itabidi pia uhakikishe kwamba miradi yote mipya na mikuu kuu ambayo itahitajika kuwepo nayo itakuwa yote imekamilika kabisa! Mambo yasiyowezekana.

Hata kama kwa muujiza, yote hayo yatakuwa yametimizwa, dunia hii mabeberu watakuwa wamekwisha?

Na hawa wanaotupiga vita ya kiuchumi nao tutawafanyaje kama jemadari wetu mashuhuri tutamwachia asiendelee kulilinda taifa hili?

Jambo pekee linaloweza kuzuia kuendelea kuwepo kwenye madaraka ni hilo lisiloweza kuzuiwa na binaadam yeyote.

Vinginevyo, huyu yupo sana, ili mradi tu bado atakuwa anamiliki bunduki, mabomu ya machozi na vyombo vingine vyote tulivyomkabidhi ili avitumie kufanya kazi zetu, na badala yake akavigeuza kuwa vifaa vyake vya kumlinda na kutetea kila anachotaka.

Kwa hiyo ni unafiki mtupu kuendelea kuleta mada kama hizi kama hadaa kwa wanaJF.
 
Natumai ana ushahidi na anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa hadhi yake kuropoka tu maneno bila ushahidi.
Ana hadhi gani ya kiuongozi huyo? Huyo si kapuku mlamba viatu vya mabeberu uchwara kama shoga yake bob amster.
Nakushangaa na wewe Nyani unajaribu kumwinua na kumpa hadhi ya uongozi mtu ambaye ni lafa tu hana mbele wala nyuma!
 
Aisee!!

Mbona povu jingi hivyo??
 
Hata kama hujui kusoma jitahidi sana kuangalia picha na kuzitambua.
Kwa style hii ya utawala wa kutaka kila mtu kukuimbia nyimbo za sifa unaweza ukaelewa kuwa huyu mtu tuko nae sana tu
So ni vizuri mjipange kisaikologia nyie mliozoea kila baada ya miaka kumi mnaweka chombo kipya
 
We jamaa bhana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna uzi 1 sijui ushapotezwa,anauliziwa mzee mbona hajaonekana church leo

Sasa sijui tuunge dot
Mzee huko Catholic ashalikoroga sasa anasoma gap huku kwa Askofu Shoo KKKT
 
It's not about the fact.

It's what you can prove to be the fact.
 
Back
Top Bottom