Bado hujaelewa, hakuna cha bahati mbaya au n zuri la mihimu ni je, kura zinatosha? Za tundulissu hazikutosha, lugha yake chafu ikawaponza kina Sugu na Msigwa na wale wadada wawili Washashi. La muhimu ni kura, je zinatosha?Sio vibaya kama tuki muongeza miaka 100! By they way ikiwa sio kabila hilo litakuwa na bahati mbaya Sana