Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

Hili jambo wala halihitaji ushahidi,ni wazi kabisa,Hao wengine wanatumika tu.

Kumbuka yule mbunge wa nkasi,wamemtoa bungeni kimkakati, angalia walioingia sasa, ni zaidi yake, unadhani kuna bahati mbaya hapo.

Ungekuwa umeshawahi Sema Jema juu yake Sawa. Huwa mnapenda sana kuanzisha mada negative hata. Kama Hakuna lolote linaloendelea. JPM kwa maneno na vitendo hana dalili yoyote ya kuongeza wala kutaka kuongeza muda. Watz mmezoa umbeya na kuzunguka. JPM hana sifa ya kuita spade kijiko kikubwa. Anamaanisha kila asemalo na atendalo. Fuatilia Acha kupika majungu.

Nilichogundua mnapenda mada kama hizi ili mjipe ukumbi wa kujifariji na kumsema. Stop and do something worthwhile for your family
 
Asipotaka kitu huonyesha kwa vitendo na hakuna anayethubutu kutamka lolote.

Ni wazi anataka hayo wanayoongea akina Msukuma. Ni aibu kwa Tz nchi ambayo ilikuwa mfano wa mama wa demokrasia Africa. Africa ya kusini sasa na Ghana ndiyo vinara wa demokrasia Afrika. Tz tumezorota kabisa hata jirani Kenya yupo juu yetu.

Naamini kizazi hiki kiovu kitapita.
Uovu haushindi- naamini hilo daima.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu jamaa domo kama sahani anaweza kuthibitisha madai yake
 
Tunampa mitano tena hata kama kuzimu huko hvohvo
 
Bwana kidonge this is a nonessential. Watanzania wakitaka miaka my ni haki yao, wakitaka 10 ninhaki yao, wakitaka 50 sawa tu, hamna kuwazua. Tulianza na von Wissmann, katakana robot kernel kasorobo, akaja King George VI na Queen Elizabeth II, wakala miaka 50 kasorobo. Ndipo kaja Rais Julius, akalima awamu 5 kasorobo, then Mzee Rukhsa, 5, na sasa kaja Dr Pombe tunataka atawale milele, what is your problem? Lissu ana kura 1, ni haki yake kikatiba kuisemea, hata majuzi alipiga kura hazikutosha hivyo, poor fellow!
 
Sio vibaya kama tuki muongeza miaka 100! By they way ikiwa sio kabila hilo litakuwa na bahati mbaya Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…