Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

Public figure not necessarily to be publicised
 
Wapinzani mnammpenda sana JPM Sema Huwa hamuonyeshi hadharani.Najua mmemisi Sana ngoja atatoka KWA ajili ya Ziara Mtulie tu,vuteni subira.Yupo ikulu Anaendelea na Majukumu kama kawaida
 
Wapinzani mnammpenda sana JPM Sema Huwa hamuonyeshi hadharani.Najua mmemisi Sana ngoja atatoka KWA ajili ya Ziara Mtulie tu,vuteni subira.Yupo ikulu Anaendelea na Majukumu kama kawaida
jifanyeni tu ndo wasemaje wake.. ikifika siku yenyewe msikimbie MUSEME MTAKAYOYAONA..shwainnnnnnnn 🐖 🐖 🐖 🐖
 
Raia wengi wa Tanzania wameanza kuhoji iwapo Rais John Magufuli ni buheri baada ya kutoonekana hadharani kwa wiki mbili sasa...
Nasikia huko Rwanda rais hajaonekana hadharani kwa karibu ya mwaka sasa.

Wanaojaribu kuhoji baadhi yao wapo mahakamani kwa kesi za kutaka kuzua taharuki.

Binafsi nafikiri ni uamuzi wa raisi kuamua kuwa hadharani ama laa! Au nasema uongo jamani?
 
Kuna wakati Kuna mambo yana kera Sana simpend Magufuli lakini kumtaka aonekane bila sababu ya msingi sisi tunapata nn

Tufanye kazi akiumwa mwenzetu anatibiwa bure hospital kubwa wewe na mm hata kula yetu n shida

Tujadili vitu vya msingi s watu kila siku inakera Sana

UVIKO19. is real let's take care
 
Back
Top Bottom