kama taifa hatuta kubali hadaa za kubaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa famila,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani
shusha malaria walau iwe moja, na unaweza kuambulia kitu cha kuelewa gentleman πUmeongea nini?
Kauli hovyoWakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"
Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Ukweli ukweli ukweli ukweniWakuu,

umoja wa waTanzania utaendelea kutumika kama njia muhimu sana kuwadhibiti vilivyo, mambwenyenye ya Magharibi yanayojaribu kujipenyeza humu nchini na kusambaza chuki ili kuligawa taifa letu, kwa maslahi yao binafsi na mabwenyenye wanaowafadhili na kuwatuma.Unakataa ukweli ila hakuna ccm bila ya ya hayo aliyoyataja na kama huamini jaribuni tu kutokutegemea vyombo vya dola.
Ukisikia kupiga ramli ndio huko.umoja wa waTanzania utaendelea kutumika kama njia muhimu sana kuwadhibiti vilivyo, mambwenyenye ya Magharibi yanayojaribu kujipenyeza humu nchini na kusambaza chuki ili kuligawa taifa letu, kwa maslahi yao binafsi na mabwenyenye wanaowafadhili na kuwatuma.
hiyo haiwezekani na haikubaliki gentleman π
Kweli kwa 100%Wakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"
Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Upo CCM kwa ajili ya njaa !!Wewe huna Elimu na vyeti tukama taifa hatuta kubali hadaa za kibaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa familia yake,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka, bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani
Nilivyotazama comment hii, nikashangaa sana, nikajiuliza inawezekana vipi mtu mwenye akili aandike upuuzi wa namna hii!! Nilivyokuja kuona jina, sikushtuka, kumbe ni miongoni mwa wale punguani wetu watatu: Tlaatlah, Mwasha mbwa na Variable.kama taifa hatuta kubali hadaa za kibaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa familia yake,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka, bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani
kama taifa hatuta kubali hadaa za kibaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa familia yake,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka, bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani
nilitegemea muerevu uje na wazo jipya na fikra mbadala dhidi ya uzito wa comment husikaNilivyotazama comment hii, nikashangaa sana, nikajiuliza inawezekana vipi mtu mwenye akili aandike upuuzi wa namna hii!! Nilivyokuja kuona jina, sikushtuka, kumbe ni miongoni mwa wale punguani wetu watatu: Tlaatlah, Mwasha mbwa na Variable.
uoga wako ndiyo umasikini wako gentleman, utaburuzwa hadi uchakae kwenye huo ushirikina unang'ang'ana nao πUpo CCM kwa ajili ya njaa !!Wewe huna Elimu na vyeti tu
Gentleman,Ukisikia kupiga ramli ndio huko.
Ndio unakubali bila ya vyombo vya dola ccm hamna kitu
kibaraka nani? Yule ni mtanzania anachosema ni kweli, kibaraka anaweza kuwa yeyote aliyepo juu anaongoza nchi. Why useme ni kibaraka wakati si mkuu wa nchi?kama taifa hatuta kubali hadaa za kibaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa familia yake,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka, bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani
Sasa tutatoka vipi hapa!?Wakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"
Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Ni hakika. Polisi hasa vyeo vikubwa wanakipigania ccm isianguke in fact wengi wa polis top layer ni makada wenye kadi kabisa za ccm. Polisi ndo wanafanya ccm iendelee ku exist, ndo maana usiku na mchana hupanga njama dhidi ya upinzani hasa chademaWakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"
Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Am pure scientist Ina tumia akili yangu na Elimu yangu kupata riziki siyo kama wewe bila kulamba miguu viongizi wa CCM huwezi kuishia Yaani ushirikina ningekuwa naujua mtu wa Kwanza kuondoka ninge dedicatewuoga wako ndiyo umasikini wako gentleman, utaburuzwa hadi uchakae kwenye huo ushirikina unang'ang'ana naoKw π
kibaraka si huyo mjamaa alieshikwa maskio na mabwenyenye ya Magharibi gentleman...kibaraka nani? Yule ni mtanzania anachosema ni kweli, kibaraka anaweza kuwa yeyote aliyepo juu anaongoza nchi. Why useme ni kibaraka wakati si mkuu wa nchi?
Gentleman,Am pure scientist Ina tumia akili yangu na Elimu yangu kupata riziki siyo kama wewe bila kulamba miguu viongizi wa CCM huwezi kuishia Yaani ushirikina ningekuwa naujua mtu wa Kwanza kuondoka ninge dedicate
1.Kwako (Kijana usiye na faida kwenye nchi hii )
2.Faustine Mafwele
3.Paul Makonda
4.Samia na mwanae
5.Waziri Rajabu
6.Na wote waliohusika na kumuua KIBAO na Kumteka SOKA
Kwahiyo rais ndio anawaagiza hao wateule wake waisadie hiyo taasisi yake kupora uchaguzi.Kama DC, mkurugenzi na maofisa wa ngazi za juu za polisi wanateuliwa na Rais Kwa akili Yako ndogo ulitaka watii agizo la nani? CCM ni Taasisi na sio kikoba kama chenu, ukiona nchi ngumu hamia Burundi