Umeongea nini?
kama taifa hatuta kubali hadaa za kubaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa famila,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani![]()