Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

Umeongea nini?
kama taifa hatuta kubali hadaa za kubaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa famila,

hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani:pulpTRAVOLTA:
 
Wakuu,

Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.

Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani

"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"

Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Kauli hovyo
 
Ukweli ukweli ukweli ukweni
 
Unakataa ukweli ila hakuna ccm bila ya ya hayo aliyoyataja na kama huamini jaribuni tu kutokutegemea vyombo vya dola.
umoja wa waTanzania utaendelea kutumika kama njia muhimu sana kuwadhibiti vilivyo, mambwenyenye ya Magharibi yanayojaribu kujipenyeza humu nchini na kusambaza chuki ili kuligawa taifa letu, kwa maslahi yao binafsi na mabwenyenye wanaowafadhili na kuwatuma.

hiyo haiwezekani na haikubaliki gentleman 🐒
 
Ukisikia kupiga ramli ndio huko.

Ndio unakubali bila ya vyombo vya dola ccm hamna kitu
 
Wakuu,

Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.

Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani

"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"

Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Kweli kwa 100%
 
kama taifa hatuta kubali hadaa za kibaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa familia yake,

hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka, bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani:pulpTRAVOLTA:
Upo CCM kwa ajili ya njaa !!Wewe huna Elimu na vyeti tu
 
Nilivyotazama comment hii, nikashangaa sana, nikajiuliza inawezekana vipi mtu mwenye akili aandike upuuzi wa namna hii!! Nilivyokuja kuona jina, sikushtuka, kumbe ni miongoni mwa wale punguani wetu watatu: Tlaatlah, Mwasha mbwa na Variable.
 
..hatutaki tena hadaa za kibaraka wa mabeberu waliyemuita ktk mkutano wao wa G-20.
 
Nilivyotazama comment hii, nikashangaa sana, nikajiuliza inawezekana vipi mtu mwenye akili aandike upuuzi wa namna hii!! Nilivyokuja kuona jina, sikushtuka, kumbe ni miongoni mwa wale punguani wetu watatu: Tlaatlah, Mwasha mbwa na Variable.
nilitegemea muerevu uje na wazo jipya na fikra mbadala dhidi ya uzito wa comment husika

badala yake unaleta mihemko na kuonyesha makasiriko yako kwa wadau muhimu humu JF, kitu ambacho ni completely nonsense na pointless

na huku ukijua wazi kwamba Kibaraka anapoteza muda tu hadi ndani ya chama chake hawamuhitaji 🐒
 
Upo CCM kwa ajili ya njaa !!Wewe huna Elimu na vyeti tu
uoga wako ndiyo umasikini wako gentleman, utaburuzwa hadi uchakae kwenye huo ushirikina unang'ang'ana nao 🐒
 
Ukisikia kupiga ramli ndio huko.

Ndio unakubali bila ya vyombo vya dola ccm hamna kitu
Gentleman,
vitu vyote, Neema na Baraka za Mungu zilizopo ndani ya Tanzania ni mali ya wananchi na waTanzania wote.

kibaraka na wenzie hawawezi kufanya chochote kuvuruga chochote Tanzania 🐒
 
kama taifa hatuta kubali hadaa za kibaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa familia yake,

hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka, bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani:pulpTRAVOLTA:
kibaraka nani? Yule ni mtanzania anachosema ni kweli, kibaraka anaweza kuwa yeyote aliyepo juu anaongoza nchi. Why useme ni kibaraka wakati si mkuu wa nchi?
 
Wakuu,

Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.

Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani

"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"

Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Sasa tutatoka vipi hapa!?
 
Ni hakika. Polisi hasa vyeo vikubwa wanakipigania ccm isianguke in fact wengi wa polis top layer ni makada wenye kadi kabisa za ccm. Polisi ndo wanafanya ccm iendelee ku exist, ndo maana usiku na mchana hupanga njama dhidi ya upinzani hasa chadema
 
wuoga wako ndiyo umasikini wako gentleman, utaburuzwa hadi uchakae kwenye huo ushirikina unang'ang'ana naoKw 🐒
Am pure scientist Ina tumia akili yangu na Elimu yangu kupata riziki siyo kama wewe bila kulamba miguu viongizi wa CCM huwezi kuishia Yaani ushirikina ningekuwa naujua mtu wa Kwanza kuondoka ninge dedicate
1.Kwako (Kijana usiye na faida kwenye nchi hii )
2.Faustine Mafwele
3.Paul Makonda
4.Samia na mwanae
5.Waziri Rajabu
6.Na wote waliohusika na kumuua KIBAO na Kumteka SOKA
 
kibaraka nani? Yule ni mtanzania anachosema ni kweli, kibaraka anaweza kuwa yeyote aliyepo juu anaongoza nchi. Why useme ni kibaraka wakati si mkuu wa nchi?
kibaraka si huyo mjamaa alieshikwa maskio na mabwenyenye ya Magharibi gentleman...

si huyo ambae anakuja tu kuhadaa waTanzania lakin yeye binafsi hana kazi lakin pia yeye na familia yake wanalishwa na kuvishwa na mabwenyenye ya huko Magharibi!

akija Tz na kibegi chake utadhani anauza mirungi kumbe kabeba visuruali viwili na shati vishati viwili, na kujificha kwenye gwanda za chadema, kumbe ni mguu ndani mguu nje kukwea pipa..

ombaomba ni utumwa mbaya sana aise 🐒
Am pure scientist Ina tumia akili yangu na Elimu yangu kupata riziki siyo kama wewe bila kulamba miguu viongizi wa CCM huwezi kuishia Yaani ushirikina ningekuwa naujua mtu wa Kwanza kuondoka ninge dedicate
1.Kwako (Kijana usiye na faida kwenye nchi hii )
2.Faustine Mafwele
3.Paul Makonda
4.Samia na mwanae
5.Waziri Rajabu
6.Na wote waliohusika na kumuua KIBAO na Kumteka SOKA
Gentleman,
Mwenyezi Mungu alijua ushetani wako hata kabla hujazaliwa, na alichoona unastahili zaidi ni hiyo mihemko na makasiriko yako ambavyo ni useless 🤣

hata hivyo utakasrika mno,
na hakuna mahali unaenda, na hakuna atakaebabaika na hizo personal and nonsense jealous dhidi ya wasiohusika na chuki zako...

Infact,
utumwa wa chuki utakuumiza mno moyoni na pengine ukakutumbukiza miongoni mwa wenye shida za afya ya akili. hakuna mwanasayansi mwenye mihemko ya kinyumbu namna hiyo

uskose kwenda kupiga kura kesho 🐒
 
Kama DC, mkurugenzi na maofisa wa ngazi za juu za polisi wanateuliwa na Rais Kwa akili Yako ndogo ulitaka watii agizo la nani? CCM ni Taasisi na sio kikoba kama chenu, ukiona nchi ngumu hamia Burundi
Kwahiyo rais ndio anawaagiza hao wateule wake waisadie hiyo taasisi yake kupora uchaguzi.
 
Back
Top Bottom