Mimi ni Mtanzania Sina chama Cha siasa zaidi ya kuwa mtumishi wa Mungu, mlipa Kodi wa kawaida.
CCM hawana mpango wamelala USINGIZI fofofo.
Sasa Kodi zetu zinunue ndege Kisha zinapaki bila mpango wowote wa maana,..serikali hii ya Ccm iko radhi Atcl ife, au ipoteza ndege zote, kuliko kupokea mchango wa Tundu Lissu, au mpinzani yeyote.
Mikataba hiyo inavunjwa makusudi na serikali inashindwa makusudi ili watu wagawane pesaSalaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
hi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.
Kwanza hizo ni dili za wakubwaUnawezaje kumshauri Shetani?
Lissu na CDM wawalipue Ili tujue kuwa hawashirikiani nao katika UOVU huo.Mikataba hiyo inavunjwa makusudi na serikali inashindwa makusudi ili watu wagawane pesa
Unalifahamu kundi la mapacha wanne? (Rostam, JK, Makamba na Abduli)Lissu na CDM wawalipue Ili tujue kuwa hawashirikiani nao katika UOVU huo.
Maana katika Hali ya kawaida, Haiwezekani ununue chombo Cha USAFIRI Kwa ajili ya biashara Kisha kinapaki Kwa sababu za kesi za michongo.
Wenzako walishavuta 20%Ndege zile Si Mali ya Hayati Magu, Wala Si Mali ya CCM,
Zile ni Mali ya Watanzania, lazima tupate ufumbuzi wa kudumu Ili ndege zisipaki Kwa HASARA, ziingie kazini, zikatafute watalii na mizigo Dunia nzima tupate faida za kiuchumi.
Serikali imejaa majangili tupuSasa Kodi zetu zinunue ndege Kisha zinapaki bila mpango wowote wa maana,
Halafu wote tumekaa kana kwamba Mali Ile Haina mwenyewe!!
Lissu na CDM watoke way forward, KAZI ya kutekeleza au kupuuza ibaki Kwa Serikali,
Wananchi tutaona, ni nani wa kutufaa kuhusu suala Hilo.
Mungu awatembelee na kuwaondoa katika kuzuia njia ya mafanikio ya Watanzania.Unalifahamu kundi la mapacha wanne? (Rostam, JK, Makamba na Abduli)
Hili ni kundi ya boys to men mzeeMungu awatembelee na kuwaondoa katika kuzuia njia ya mafanikio ya Watanzania.
Watanzania walishirikishwa na kuridhia ununuzi wa ndege?Chama kikuu Cha upinzani kitoe dira nini kitawafanyia Watanzania katika issue ya ndege zetu zilizopaki Ili zikuze Utalii na tushinde case Ili kupata faida Kwa nchi?
CCM walivyo wajinga huwa wanabadilisha mawazo mazuri ya wakinzani wao yaonekane uchochezi.Mipunguani mi-CCM!Mijinga hadi keshokutwa asubuhi.Mawazo Positive aliyowahi kuyatoa Tundu Lisu tangu akiwa mbunge,ni lipi limewahi kuchukuliwa na kufanyiwa kazi?
Ukisikia uhaini ndio huo sasa,Wenzako walishavuta 20%
Ila pesa yake stahili ya mafao ya Bunge alimuomba Shetani na akampa! Ahahahahaha!!Unawezaje kumshauri Shetani?
Kazi ya sisi wananchi ni nini?Ukisikia uhaini ndio huo sasa,
Kesi za michongo zinafunguliwa ,tushindwe kesi kimchongo Ili watu wagawane RUSHWA,
Upinzani watoke kulisemea Hilo ikiwa nao hawajapewa mgao.
SahihiCCM walivyo wajinga huwa wanabadilisha mawazo mazuri ya wakinzani wao yaonekane uchochezi.Mipunguani mi-CCM!Mijinga hadi keshokutwa asubuhi.
Ok.Hakipo.Toa mawazo kuhusu uzi huu.Hakuna chama kinaitwa CDM
Twende mbele,Watanzania walishirikishwa na kuridhia ununuzi wa ndege?