Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

Tunataka tupate solution,

Tupate wataalamu Ili tusishindwe kesi, ikiwa Haiwezekani tujue tunafanyaje.
Kupata wataalamu wa kuisaidia nchi ni pale tu wapumbavu wa CCM na watumishi wa umma kukubali kupokea dawa mjarabu ya walio nje na mfumo ambao huwa mara zote wanawafanyia "asesimenti" na "ivalueshn" na kuwaona utekelezaji wao.Wanafanya vikao (CCM )na watumishi na kuwajaza ujinga wawachukie watu mbadala.
 
Imagine una hisa kwenye kampuni Fulani ya usafirishaji inayojihusisha na USAFIRI wa anga,

Hisa zenu zimetumika kununua ndege, halafu ghafula, yanatokea ya Kutokea, WAPINZANI wanashirikiana na viongozi mliowachagua kuhujumu kampuni, ndege zinapaki,

Mwana hisa lazima uhamaki na kutaka kujua nini kifanyike Ili pesa uliyowekeza isifie humo,

Lakini Kuna Watanzania wengine wanashangilia kama mazuzu ndege kupaki kana kwamba pesa zao hazikutumika katika ununuzi wa ndege hizo!!!
 
Fafanua hapo kwenye/ulipoanzia "WAPINZANI"!
 
CCM hawana mpango wamelala USINGIZI fofofo.
Haha..
Sasa hawa ndiyo wanatakiwa kuwajibishwa kwanza ili tuweze kusonga mbele kama taifa.

Jitihada zozote za kuwashauri hao ni kupoteza muda, ni kama kupigia mbuzi gitaa.

Siyo wasikivu kwa umma.
Kwa mfano, waliunda tume ya Warioba, ikapatikana rasimu ya Katiba yenye maoni ya wananchi, lakini hadi leo hakuna utashi wa kutekeleza
 
WAPINZANI ni wale Walio ndani ya Serikali wanaohakikisha tunashindwa kesi Ili wapate Chao Kutoka hayo makampuni ya nje yenye mkono wa baadhi ya viongozi wa ndani.

Sijui umeelewa?
Kwa nini hujui kama nimeelewa?
 

..mpango wa serikali ni kuzipaki hizo ndege?
 
..mpango wa serikali ni kuzipaki hizo ndege?
HOFU ya kukamatwa Kwa ndege ndio Hasa sababu ya kuziground.

Sasa ndipo haja ya kuomba msaada Toka Kwa Mwanasheria msomi Tundu Lissu unaibukia hapo.
 
Alikuwepo Pia Mwandishi Mmoja wa Habari za Anga na Usafiri wa Anga
mr Barafu huyu mwamba wakiungana na Lissu wataokoa Taifa.
 
Maujinga mfanye CCM, msala uwe kwa Lissu?
Wewe haikuumi kama Mwananchi Kodi Yako umenunua ndege Kisha zinapaki na hata hustuki?

Uzalendo hapo ni upi?

Halafu kunihusisha Mimi na CCM ni kunivunjia Heshima.

Tafadhali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…