Tundu Lissu, too late a hero!

Kuna haja kwa rasimu mpya ya mtaala elimu uongeze somo la vipi tuishi na kufikiri kitajiri tukiwa masikini.

Kuna huu ugonjwa kwa waafika. Watu kufikiri kama watumwa.

Ni laana kwa jamii kuwa na watu wenye fikra za kimasikini. Wenye kufikiri kama watumwa
 
Hakuna hiyo.
Mshaanza kuomba po eti tusilitajetaje hilo shetani lenu la Chato.
Tutaendelea kulinanga sana tu.
Lisu shikilia hapo hapo.
Nyie Sukuma Gang hamuwezi kujua magumu alopitia Lisu kipindi cha mshenzi yule.
 
Lisu anamalizwa na mambo mawili

1. Maridhiano
2. Kivuli cha Magufuli

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti kivuli.
Mshenzi yule alishaondoka na shari zake ss nchi imetulia.
Ni lazima Lisu amnange sana Marehemu wenu haijalishi.
After all wapiga kura wetu sio sukuma gang, hata tuwabembeleze vp nyie hamtatuunga mkono. Bora tulinange tu shetani lenu la Chato
 
He's too obsessed with Magufuli. Teetering against Magufuli equates to political suicide.
Wajinga nyie tafuteni chama chenu mana ht Samia haishi kuliumbua hilo shetani lenu.
Sasa sijui mtaenda kulipigia kura shetani lenu huko Chato!!
 
Lisu ni debe tupu
 
Wafungwa wa kisiasa wametolewa zaidi ya 400 mpaka Sasa na Mama Samia Sasa unapoleta ujuaji wakati makamu wa huyo shetani wenu amekiri ni wafungwa wa kisiasa basi utakua hujitambui.
Makamu wa shetani ni shetani!

Machadema mna stress sana
 
Lissu is and will still be a hero of this nation, whether sung or unsung. A man with his balls of steel.
But he carries a bitter resentment against Pres Magufuli, which is understandable. But he needs to let it go and grow!
 
Watu kama nyie katika jumuia huwa hamkosekani. Pumzika kwa amani
 
Kila mtu ashinde mechi zake,CCM fanyeni siasa kwa staili yenu waacheni na Chadema wafanye kivyao mkutane fainali 2025. Huu ujuaji kila wanachofanya Chadema nyie midomo juu ni kupoteza muda wenu. Tuwe na mijadala ya kukemea na kushinikiza wabadhirifu wa kodi zetu kama ilivyoanishwa kwenye ripoti ya CAG wawajibishwe.
 

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataish
Nani alikwambia lilikuwa lalamiko lake la kwanza na si miongoni mwa mengi waliyo zungumza?
 
Makamu wa shetani ni shetani!

Machadema mna stress sana
Moyo wa Mama Samia hauwezi kuwa sawa na huyo ibilisi wenu. Mbona hakuna aliyetishiwa bunduki ila Mapato yameongezeka kuliko hata enzi za JPM.

Mnatia sana huruma sukuma gang maana nyie ndio mna stress sisi tuzitoe wapi? Sahivi tunajimwaga tu Mitandaoni bila hofu ya kupewa kesi ya uhujumu uchumi.
 
Lisu ni debe tupu
Unfortunately you are irrelevant so your opinion is utter BS. Rais wako alienda Hadi kumpigia magoti wayamalize kule Belgium ndio sembuse wewe muuza dagaa hapo Kigongo?
 
Unfortunately you are irrelevant so your opinion is utter BS. Rais wako alienda Hadi kumpigia magoti wayamalize kule Belgium ndio sembuse wewe muuza dagaa hapo Kigongo?
Stupid!
Kwa hiyo Rais alienda na gerezani Segerea kumpigia magoti Mbowe ili wayamalize.
Soma 4 Rs za mama Samia uzielewe.
Thats a bird brained comment.
 
Wewe utakuwa na hela ya mboga tu ndiyo maana unapata muda wa kupiga umbea. Ongeza bidii ya kutafuta hela.
Achana kujibishania na non issues, eleza sera za Lissu ili tujue kama una kitu kichwani.
 
Correction;

Samia hakubaliki kwa wananchi.

Yaani hawataki hata kumsikia.

Anakubalika kwa wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa waliopo karibu nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…