Tundu Lissu, too late a hero!

Tundu Lissu, too late a hero!

OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.

Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.

Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.

Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.

Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.

Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.

Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.

Unavyomzungumzia Lissu utadhani ameanza harakati za kisiasa kipindi cha mwendazake.

Hebu tafakari upya.
 
..kuna watu wana HOFU na elimu ya uraia anayoitoa Lissu huko anakopita.
Sijamsikia Lissu akiongea lolote la maana juu ya Katiba Mpya.
At any rate Lissu ni mwanasheria wa haki za binadamu na mazingira na si Constitutional Lawyer.
Zingatia hilo.
 
Sijamsikia Lissu akiongea lolote la maana juu ya Katiba Mpya.
At any rate Lissu ni mwanasheria wa haki za binadamu na mazingira na si Constitutional Lawyer.

..kuna OMBWE la Constitutional Lawyer kutoa elimu ya uraia ndio maana unaona Lissu ameingia mtaani.

..tunahitaji kuwatia shime wanaharakati kama Lissu wanaojaribu kuwafikia wananchi haswa mikoani.

..Nadhani tunakosea kumponda au kumbeza Tundu Lissu.
 
Unavyomzungumzia Lissu utadhani ameanza harakati za kisiasa kipindi cha mwendazake.

Hebu tafakari upya.
Mkuu Lissu mnamuoverate.
Hana jipya, ana confrontational character, katika mwendazake alitapa sparring partner.
 
Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.
LOOh!
Mbona unahukumu mapema na haraka hivyo?
Huko juu ya makala unasema "mama kakubalika sana", wapi? Umewahoji watu gani wakakwambia hivyo?

Mbowe kuwekwa mfukoni kusiwalaze akili ukadhani waTanzania wote akili zao zimelala.

Acha Lissu afanye anavyotaka mwenyewe kufanya, mbona mnakuwa na hofu mapema kiasi hiki?

Mhimize tu mama aendelee kusawazisha uwanja, halafu kazi waachie wachezaji. Usipange matokeo kwa kutumia nadharia tu. Mbona hata kazi haijaanza?
 
..kuna OMBWE la Constitutional Lawyer kutoa elimu ya uraia ndio maana unaona Lissu ameingia mtaani.

..tunahitaji kuwatia shime wanaharakati kama Lissu wanaojaribu kuwafikia wananchi haswa mikoani.

..Nadhani tunakosea kumponda au kumbeza Tundu Lissu.
Tena "kuponda na kubeza" kwa msukumo wa ushabiki tu, huoni hilo ni jambo la kushangaza kweli?
 
LOOh!
Mbona unahukumu mapema na haraka hivyo?
Huko juu ya makala unasema "mama kakubalika sana", wapi? Umewahoji watu gani wakakwambia hivyo?

Mbowe kuwekwa mfukoni kusiwalaze akili ukadhani waTanzania wote akili zao zimelala.

Acha Lissu afanye anavyotaka mwenyewe kufanya, mbona mnakuwa na hofu mapema kiasi hiki?

Mhimize tu mama aendelee kusawazisha uwanja, halafu kazi waachie wachezaji. Usipange matokeo kwa kutumia nadharia tu. Mbona hata kazi haijaanza?
Duuh.....!
Kweli fadhila za punda ni mateke!

Tumeshasahau tulikotoka na ni miaka miwili tu iliyopita.
Mbowe alikuwa na kesi ya uhaini.

Lissu na Lema wakaulaza huko ugenini.

Biashara zilifungwa kwa kasi.

Wawekezaji wa ndani na nje walianza kukimbia.

TRA ilikuwa tool of oppression.

Polisi waliagizwa kubambika kesi.
Wakuu wa mikoa na wilaya
waliwaweka ndani watu kama wapendavyo.

CCM ilikuwepo, ingawaje ilikuwa in total chaos.

CHADEMA ilikuwa mafichoni na hata mikutano ya ndani waliswekwa ndani.

Halafu leo mmekula na kushiba na pengine kujitapikia, mnaita kulambishwa asali!

Kweli punda hana fadhila!
 
Ooooho walinipiga risasi, wakataka kuniua kwa risasi, risasi kumi na sita halafu Chiba linavua nguo. Mlete dereva akuumbue pumbavu. Hana hoja tena anafoka tu kama mbwa koko
 
Mimi nilitegemea mikutano kuruhusiwa moto uwake! Lakini hata JF naona nyuzi za Sukuma gang wakomeshwa and a like! Chadema imepoa kama hawajui wafanye nini zaidi ya kushinda tweeter tu.

Chadema wengi baada ya kunyooshwa na chuma kwasasa kila hisani inayofanywa kwao inawafanya waone haya hata kufoka [emoji1] . Hata Lissu treatment anayopata sasa anajikuta ubinadamu unamuingia inabidi amseme mama kwa adabu kidogo [emoji1]

Tunapenda au hatupendi tunahitaji mabadiliko kwenye siasa za upinzani. Kuna kila dalili uchaguzi ujao watakuwa dhaifu zaidi. Chadema wamekaa kwenye maridhiano wakisubiri peremende ambazo wenzao wanajua how to fix it.

Kuelekea uchaguzi watarudi kwa raia wakipiga mayowe kwa kudanganywa kwenye maridhiano.
 
CHADEMA should seriously think of their way foward.
Upinzani unahitajika kwenye siasa, lakini si hiki kitu tunakiona.
Akili zaidi inahitajika.
 
Wanasiasa hawajakubali Hali halisi , inavyotakiwa wafanye tuu siasa na sio kumtaja taja Maghufuli na kumsema , hyo inawafanya wadharaulike Kwa wananchi , ni aheri waliache tuu jina la Maghufuli wapambane na changamoto zilizopo , unapomnanga JPM hakikisha Una backup ya nguvu ya Dola bila hvyo utachina tuu
Magufuli hatoachwa kusemwa kwani wahanga wa maovu yake tupo
 
Maovu yapi aliyowatendea embu yataje kama wewe kakutendea nini pia tutajie?
Kuua sekta binafsi
Kubambikizia Kodi
Kesi za uhujumu uchumi
Wafungwa wa kisiasa
Kupora uchaguzi
Kuvuruga uchumi
Chuki kwa matajiri

JPM was a saddist
 
Kuua sekta binafsi
Kubambikizia Kodi
Kesi za uhujumu uchumi
Wafungwa wa kisiasa
Kupora uchaguzi
Kuvuruga uchumi
Chuki kwa matajiri

JPM was a saddist
Magufuli hakuwa na chuki na Matajiri wote alikuwa na chuki na Matajiri wakwepa kodi, wadhulumaji,wanaopata utajiri kwa njia isiyohalali,
 
Back
Top Bottom