Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hujasema kitu mkuu, soko huria ni policy yetu muda sasa.Acha uongo sera za Chadema ni uchumi wa soko huria;
Sera ya majimbo (Ugatuzi);
Kupunguza bajeti ya recurring Exp.
Katiba mpya;
PPP kwenye miradi ya kimkakati;
Energy mix kuanzia umeme wa solar mpaka upepo kucomplement hydro na LNG;
Private Sector-driven economy.
Haya yote ndio sera za Chadema na yanaongelewa Kila mkutano. Fuatilia mikutano inayoendelea nyanda za juu kusini, Kanda ya kati, na huko kigoma sio unakata JF unajifanya unajua sana wakati hata vitabu vya sera za Chadema hamna.
Mengine uliyogusia ni just details in a particular field.
Sera ya majimbo bado hamjaielezea kwa kina chake na mpangilio wa kisiasa.