Hii ndiyo maana halisi ya Kiongozi, hii ndiyo maana halisi ya msimamo, hii ndiyo maana ya Walking the talk.View attachment 3064512
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee.
"Inategemea hayo maneno mabaya (dhidi ya CHADEMA) yanahusu kitu gani na anayoyatoa ni nani, kama ni tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, za ubadhirifu na ufujaji wa mali za chama hata kama yametolewa na mtu aliyeondoka katika mazingira hayo ya ndoa kuvunjika yanahitaji yapimwe ili kama ni ya kweli hatua zichukuliwe, na sisi sio malaika, sisi sio mitume sisi ni chama cha siasa kinachoongozwa na binadamu, inawezekana kuna makosa mahali,.
Sasa huyu anayetoa tuhuma pamoja na kwamba anatoa tuhuma baada ya kutoka nje hizo tuhuma ama zinahusu mambo mazito kama hayo niliyoyataja zinahitaji ziangaliwe na kutolewa maelezo kwa sababu kuzinyamanzia hivihivi siyo sawa, kama ni za kweli usipozitolea maelezo maana yake ni kwamba unaficha uovu, unaficha uchafu, na kama sio za kweli vilevile zioneshwe kwamba sio za kweli na katika hayo ambayo ameyasema Peter Msigwa nilisema yanahitaji kujibiwa kwa sababu ni masuala ambayo uthibitisho wake upo kwenye nyaraka, akaunti za chama zinasemaje, orodha ya mali za chama zisizohamishika ni ipi?
Kwa hiyo licha ya tuhuma hizi kutolewa na mtu aliyetukimbia katika mazingira tatanishi kama hayo hizi tuhuma zinahitaji kujibiwa na kutolewa maelezo ili wanachama na umma waondokane na taharuki ya haya yanayosemwa"- Lissu.
SAFARI IMEIVA YA KUELEKEA C.C.MView attachment 3064512

Kumekucha yeye ni makamu mwenyekiti taifa hivyo anapotaka MTU atoe majibu ni direct anamlenga Mwenyekiti WA Taifa WA Chadema Mbowe kuwa yeye kama Makamu hawezi jibuView attachment 3064512
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee.
"Inategemea hayo maneno mabaya (dhidi ya CHADEMA) yanahusu kitu gani na anayoyatoa ni nani, kama ni tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, za ubadhirifu na ufujaji wa mali za chama hata kama yametolewa na mtu aliyeondoka katika mazingira hayo ya ndoa kuvunjika yanahitaji yapimwe ili kama ni ya kweli hatua zichukuliwe, na sisi sio malaika, sisi sio mitume sisi ni chama cha siasa kinachoongozwa na binadamu, inawezekana kuna makosa mahali,.
Sasa huyu anayetoa tuhuma pamoja na kwamba anatoa tuhuma baada ya kutoka nje hizo tuhuma ama zinahusu mambo mazito kama hayo niliyoyataja zinahitaji ziangaliwe na kutolewa maelezo kwa sababu kuzinyamanzia hivihivi siyo sawa, kama ni za kweli usipozitolea maelezo maana yake ni kwamba unaficha uovu, unaficha uchafu, na kama sio za kweli vilevile zioneshwe kwamba sio za kweli na katika hayo ambayo ameyasema Peter Msigwa nilisema yanahitaji kujibiwa kwa sababu ni masuala ambayo uthibitisho wake upo kwenye nyaraka, akaunti za chama zinasemaje, orodha ya mali za chama zisizohamishika ni ipi?
Kwa hiyo licha ya tuhuma hizi kutolewa na mtu aliyetukimbia katika mazingira tatanishi kama hayo hizi tuhuma zinahitaji kujibiwa na kutolewa maelezo ili wanachama na umma waondokane na taharuki ya haya yanayosemwa"- Lissu.
Aondoke aende ccm,CDM ni taasisi haitegemei mtu aliondoka Slaa atakuja kuwa Lissu.Ashavimbiwa anajiona ni mkubwa kuliko Chama.
Hii ndiyo maana halisi ya Kiongozi, hii ndiyo maana halisi ya msimamo, hii ndiyo maana ya Walking the talk.
…and this is Tundu Lissu.
Sema Yuko straight kuwa chama kinatakiwa kujibu yeye ndie kiongozi Namba mbili kitaifa kuwa yeye hawezi jibu ni direct message Kwa Mwenyekiti taifa kuwa ajibu Tuhuma Ake zinazohusu ufisadi wake wa Mali za chama kama Tuhuma za Msigwa zisemavyoKwa kauli hii Lisu anatoa ujumbe kwamba umakamu mwenyekiti wake ni ceremonial (hauna meno), hivyo chama kinaongozwa na Mbowe tu.
Lisu kama kiongozi wa juu kabisa wa chama, kwanini hayo anataka yafanyike hajayafanya?
Mbowe ni mtumishi mtiifu wa bwana ROSTAM AZIZI kala viapo vyote vya utii.Kumekucha yeye ni makamu mwenyekiti taifa hivyo anapotaka MTU atoe majibu ni direct anamlenga Mwenyekiti WA Taifa WA Chadema Mbowe kuwa yeye kama Makamu hawezi jibu
Mbowe upoooo? Jibu tuhuma za Msigwa ukinyamaza kimywa maana Yake kweli
Lisu anakutaka ujibu usikae kimywa
Lisu yuko pamoja na Msigwa kwenye hoja zake na anaamini Msigwa ana hoja jibu Mbowe
Ndiyo mnavyohamisha magoli? Wapi na lini alisema mkidai haki zenu mtashitakiwa?Tutashitakiwa MIGA tukidai haki zetu kwenye madini
hii story nakumbuka ya zamani sana. hivi sasa itakuwa inaletwa na UVSSM humuMsigwa kunamtu anamtia kichwa