Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aondoke aende ccm,CDM ni taasisi haitegemei mtu aliondoka Slaa atakuja kuwa Lissu.Ashavimbiwa anajiona ni mkubwa kuliko Chama.
akiondoka na yeye anaishia....umaarufu ni kwa vile yuko chadema. Aende ACT/CUF aone kama atabaki salama
 
Sidhani kama Lissu anatafuta umaarufu CHADEMA. Yeye yuko kikazi zaidi. Sasa kama wengine wanaendekeza uswahiba na Mwenyekiti wa CCM, kuendeleza ushkaji na akina mama 19 wasaliti, na kuanza kutembeza pesa ndani ya chama kama njugu ili kupanga safu za kuwawezesha kukaribihwa makombo yatakayotokana na uchaguzi wa 2025 basi lazima moyo wake ukatishwe tamaa kidogo, lakini yule ni kamanda naamini atapambana humohumo ndani ya CHADEMA na kupindua meza humohumo na kuleta mabadiliko tunayoyahitaji
 
Be open, wewe hapa ni anonymous, waseme wazi wazi hao wa njugu, rushwa, wanaowakaribisga covid 19, kutembeza pesa na zinatoka wapi.....waseme wazi wazi , makombo gani hayo yanayohisiwa kuja badda ya 2025 election....sema wazi wazi....

Pili kikazi zaidi ya Lisu lazima iwe na support ya watu! hawezi kuwa kikazi zaidi peke yake!
Leo kuna CC yao ngoja tuone the what will come out of thid seating
 
Kwa hiyo licha ya tuhuma hizi kutolewa na mtu aliyetukimbia katika mazingira tatanishi kama hayo hizi tuhuma zinahitaji kujibiwa na kutolewa maelezo ili wanachama na umma waondokane na taharuki ya haya yanayosemwa"- Lissu.
Ninakubaliana na Tundu Lissu, pamoja na kwamba huko anako yasemea hyuyo Msigwa nako hakuna nafuu yoyote.

Huyu Msigwa angekomalia haya haya akiwa ndani ya CHADEMA thamani ya uongozi wake ingekuwa kubwa sana wakati huu.
Lakini kwenda kujiunga na CCM...?
 
Huyu naye anaelekea kuondoka,hizi kauli hazitolewi huko kama mtuhumiwa ni Chairman

Misimamo kama hii huko inaitwa kukigawa chama,kukivuruga chama etc na ndicho kilimgharimu Wangwe
Jamaa ni Kama hana washauri wazuri anatumia biological instincts zake tu.
 
View attachment 3064512
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee.

"Inategemea hayo maneno mabaya (dhidi ya CHADEMA) yanahusu kitu gani na anayoyatoa ni nani, kama ni tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, za ubadhirifu na ufujaji wa mali za chama hata kama yametolewa na mtu aliyeondoka katika mazingira hayo ya ndoa kuvunjika yanahitaji yapimwe ili kama ni ya kweli hatua zichukuliwe, na sisi sio malaika, sisi sio mitume sisi ni chama cha siasa kinachoongozwa na binadamu, inawezekana kuna makosa mahali,.

Sasa huyu anayetoa tuhuma pamoja na kwamba anatoa tuhuma baada ya kutoka nje hizo tuhuma ama zinahusu mambo mazito kama hayo niliyoyataja zinahitaji ziangaliwe na kutolewa maelezo kwa sababu kuzinyamanzia hivihivi siyo sawa, kama ni za kweli usipozitolea maelezo maana yake ni kwamba unaficha uovu, unaficha uchafu, na kama sio za kweli vilevile zioneshwe kwamba sio za kweli na katika hayo ambayo ameyasema Peter Msigwa nilisema yanahitaji kujibiwa kwa sababu ni masuala ambayo uthibitisho wake upo kwenye nyaraka, akaunti za chama zinasemaje, orodha ya mali za chama zisizohamishika ni ipi?

Kwa hiyo licha ya tuhuma hizi kutolewa na mtu aliyetukimbia katika mazingira tatanishi kama hayo hizi tuhuma zinahitaji kujibiwa na kutolewa maelezo ili wanachama na umma waondokane na taharuki ya haya yanayosemwa"- Lissu.
Aione Erythrocyte kwenye faili!
 
Be open, wewe hapa ni anonymous, waseme wazi wazi hao wa njugu, rushwa, wanaowakaribisga covid 19, kutembeza pesa na zinatoka wapi.....waseme wazi wazi , makombo gani hayo yanayohisiwa kuja badda ya 2025 election....sema wazi wazi....

Pili kikazi zaidi ya Lisu lazima iwe na support ya watu! hawezi kuwa kikazi zaidi peke yake!
Leo kuna CC yao ngoja tuone the what will come out of thid seating
Hao CC unaowataja hapa, wasipo kubali kumeza dawa chungu na kuisafisha CHADEMA na virusi wanaoitafuna ndani kwa ndani, na sasa wakisaidiwa toka njee (CCM), hapa ndipo kutatokea kifo cha chama hicho.
Kuvungavunga mabo kuna mwisho wake, na sasa mwisho ndio huo unakaribia.

Kama kujiunga na CCM ya Samia, kwa mazingaombwe tunayo yaona toka Kenya ndiyo kupona kwa CHADEMA, basi wafurahi kwa hatua hiyo watakayoifikia.
 
Ninakubaliana na Tundu Lissu, pamoja na kwamba huko anako yasemea hyuyo Msigwa nako hakuna nafuu yoyote.

Huyu Msigwa angekomalia haya haya akiwa ndani ya CHADEMA thamani ya uongozi wake ingekuwa kubwa sana wakati huu.
Lakini kwenda kujiunga na CCM...?
Tundu Lissu Kama kiongozi wa chama anapaswa kuwa makini sana anapozungumza na media.

Atajikuta anakipaka matope Chama chake ambacho anataka kugombea urais.
 
Hapana.
Tundu Lissu kuwa muwazi ni sahihi kabisa. Ndiyo, mtuhumiwa mkuu, sasa ni wazi ni Mbowe mwenyewe. Acha maji yafuate mkondo wake.
Labda Kama anacheza ngoma ya Msigwa na CCM.
 
Tundu Lissu Kama kiongozi wa chama anapaswa kuwa makini sana anapozungumza na media.

Atajikuta anakipaka matope Chama chake ambacho anataka kugombea urais.
Kugombea urais katika chama kilicho jaa matope?
Kusimamia anayo yaamini ni muhimu zaidi. Huo ndio uongozi.
 
View attachment 3064512
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee.

"Inategemea hayo maneno mabaya (dhidi ya CHADEMA) yanahusu kitu gani na anayoyatoa ni nani, kama ni tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, za ubadhirifu na ufujaji wa mali za chama hata kama yametolewa na mtu aliyeondoka katika mazingira hayo ya ndoa kuvunjika yanahitaji yapimwe ili kama ni ya kweli hatua zichukuliwe, na sisi sio malaika, sisi sio mitume sisi ni chama cha siasa kinachoongozwa na binadamu, inawezekana kuna makosa mahali,.

Sasa huyu anayetoa tuhuma pamoja na kwamba anatoa tuhuma baada ya kutoka nje hizo tuhuma ama zinahusu mambo mazito kama hayo niliyoyataja zinahitaji ziangaliwe na kutolewa maelezo kwa sababu kuzinyamanzia hivihivi siyo sawa, kama ni za kweli usipozitolea maelezo maana yake ni kwamba unaficha uovu, unaficha uchafu, na kama sio za kweli vilevile zioneshwe kwamba sio za kweli na katika hayo ambayo ameyasema Peter Msigwa nilisema yanahitaji kujibiwa kwa sababu ni masuala ambayo uthibitisho wake upo kwenye nyaraka, akaunti za chama zinasemaje, orodha ya mali za chama zisizohamishika ni ipi?

Kwa hiyo licha ya tuhuma hizi kutolewa na mtu aliyetukimbia katika mazingira tatanishi kama hayo hizi tuhuma zinahitaji kujibiwa na kutolewa maelezo ili wanachama na umma waondokane na taharuki ya haya yanayosemwa"- Lissu.
huyu anatafuta kiki.
tatizo ndani ya mfumo rasmi wa nchi hatakiwi, atabaki anabwata tu
 
Back
Top Bottom