Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Per Diem

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
2,189
Reaction score
3,739
Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.

Nilikuwa mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi

Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. Kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?

Je, kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.

Naweka video ya alichozungumza.

 
SUPIKA WA JUMBA AKISIMAMA KUPITISHA AZIMIO

BIBI RANGO

IMG_6836.jpg

IMG_6835.jpg
 
Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.

Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi

Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?

Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme

Naweka video ya alichozungumza
View attachment 2652209
Kipindi chote cha shujaa Lisu alikuwa anapinga maendeleo alitumika vibaya mno
 
Hawa wajinga ndio walishangilia magufuli kufa ili huyu mtu atuuze kwa waarabu
 
Tatizo Sa100 anapelekwa pelekwa tu wala ye mwenyewe utakuta huo mkataba hajawahi hata kuuona, rimoti iko MSOGA!.
 
Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.

Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi

Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?

Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.

Naweka video ya alichozungumza.

View attachment 2652209
Tena tumenunuliwa na mubeligijiii wa buza
 
Hawa wajinga ndio walishangilia magufuli kufa ili huyu mtu atuuze kwa waarabu
mjinga ni wewe na mamako aliekuzaa huyo magufuli uwaji la watu nani analitaka kama sio wewe na wajinga wenzio mlionufaika na mauwaji ma uporaji wa mali za watu.
 
Back
Top Bottom