Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.

Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi

Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?

Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.

Naweka video ya alichozungumza.

View attachment 2652209
Lisu ni bush lawyer wa miaka yote

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Nafikili Samia hana mpango wa kuishi hapa nchini akistaafu 2025. Uyu mtu kuna kila dalili akakimbilia Dubai,si mtu wa kawaida ni mfano wa jezebel.
 
Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.

Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi

Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?

Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.

Naweka video ya alichozungumza.

View attachment 2652209
Mzanzibari anauza Tanganyika na wabunge vibaraka wanashangilia
 
Tuingieni kwenye maombi Mungu atuamulie huu ugomvi na uzuri kitendea kazi (covid 19) kimerudi upyaaa,nasikia M7 hoi huko.
 
Hoja take kuwa ana pesa hawezi kuhongwa ni hoja mufilisi
Naunga mkono hoja yako. Pesa haijawahi kutosha hata siku moja. Ndiyo maana wenye pesa wanataka pesa zaidi na zaidi kwa gharama yoyote bila kujali walalahoi wamekula au la! Waambie hao wahishimiwa mjengoni kwa uzalendo wao wapunguze mishahara na marupurupu yao kidogo kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa. utakiona cha mtema kuni, hatari ya kuitwa kwenye kamati...! Pesa huwa haitoshi na haijawahi kutosha. Alichonacho anataka zaidi na zaidi. Hiyo ni hulka ya mwanadamu.
 
Msihangaike hii nchi ina Baraza la usalama wa taifa!kama na wao wanaona SAWA basi tusihangaike coz wanajua nini wanafanya!!
Tunadangnya sana hiki kitu bongo hakipo kingekuwepo mambo ya kiseng.e hii nchi yasingekuwepo huko TISS wanaanza kozi hv karibuni lakini wamekuwa recommended watu wakaida sana.
 
Kipindi chote cha shujaa Lisu alikuwa anapinga maendeleo alitumika vibaya mno
Hukumwelewa na hujamwelewa Lisu. Ugomvi wa Lisu na Magufuli ulikuwa jwebye demokrasia na kufuata taratubu, sheria na katiba.

Lisu siku zote husimama kwenye sheria. Marehemu Magufuli hakutaka kabisa suala la sheria, katiba au taratibu zimzuie yeye kufanya anachotaka kukifanya.

Kwa ujumla Lisu ndiye mtu pekee tangu miaka mingi amekuwa mwanaharakati wa kupigania rasilimali za Tanzania, haki kwa wanaoonewa, na demokrasia kwa wanaodhulumiwa. Kwenye haya hajawahi kupinda.
 
Back
Top Bottom