Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Learned brother lissu anamsimamo gani jinsi bandari yetu ilivyouzwa kwa waarabu

Lissu amekuwa mpole sana sio kawaida yake

Ukosoaji wa lissu umebase kwenye lugha kali ili kufukisha ujumbe in a hard way


This time lissu amepewa nini na mamlaka? Yupo km hayupo,anakosoa kwa kusita sita


Ikumbukwe inshu dogo tu ktk uongozi wa magufuli lissu alikuwa anaitisha press kila siku na kutumia lugha mgumu

Ila awamu hii amekuwa mpole sana kwa utawala uliopo

Lissu tunakutegemea brother,kuuzwa bandari ni aibu ya karne ambayo haijawahi kutokea duniani

Umepatwa na nini lissu
Nadhani yeye kama watanzania wengine ameshatoa maoni yake na alipinga mkataba kwa baadhi ya vipengele, kama hujamsikia basi tafuta.
 
Back
Top Bottom