Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,786
Nani amemwelewa profesa hapa anifafanulie. Huu mkataba ni wa miaka mingapi? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2653075
Kama hata kusaini anakosea wapi aweke signature, kitu cha seconds unadhani atakua ameusoma mkataba akaelewa???