Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.

Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi

Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?

Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.

Naweka video ya alichozungumza.

View attachment 2652209
Ngoja walinda legacy wakusikie kuhusu makinikia 🤣🤣🤣. NB: LISSU yuko real san, tatizo watanzania hasa walinda legacy na uvccm hawamuelew wanaona kama hatetei maslahi ya Taifa. Bali LISSU hua anasimamia ukwel uliopo kimkataba, kwamba ukienda ndivyo sivyo utanyolewa bila maji!!
 
Kipindi chote cha shujaa Lisu alikuwa anapinga maendeleo alitumika vibaya mno
Wajinga wachache kama ww ndio mnawapoteza walinda legacy na uvccm!! LISSU hua anasimamia mkataba serikali ulioingia ukienda kinyume chake utanyolewa bila maji!! Ikimaanisha Taifa litakuja ingia hasara ya kushitakiwa, nadhan ushaona matokeo ya midege yetu!!
 
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.

IMG_7579.jpeg

Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.

Toa maoni yako.
 
View attachment 2653077

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Chadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
 
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.

View attachment 2653077

Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.

Toa maoni yako.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.

View attachment 2653077

Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.

Toa maoni yako.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
 
kwa lugha rahisi huo ni Mkataba wa Milele

Nilivyo sikiliza maelezo mengi mkataba ni kama hausemi unanza kutekelezwa lini. Ya wezekana serikali hakujiangmdaa tikisi wakiondoka wange endelea vipi na majukumu. Nao ndio hii kukurukakara ya Dp.
 
Back
Top Bottom