Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Komredi Tundu Lissu pamoja na ubobevu wake kwenye masuala ya mikataba anashindwa kujua kuwa leo bunge halikupitisha MKATABA wowote......Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kweli Mama anaupiga mwingi [emoji7]
NDAGHA FIJO
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app