Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
Wewe ebu jiambie mwenyewe, "mimi ni kichaa mwehu kwa sababu sina akili na wala sijitambui. Namwona Musukuma aliyeongoza jopo la kusaliti nchi, ni kati ya wasomi wakubwa wa nchi hii".

Sema, "nimelaaniwa mimi kwa unafiki wangu na uzao wangu mpaka kizazi cha nne".
 
Chadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
Acha ujinga kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa.
 
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.

View attachment 2653077

Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.

Toa maoni yako.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Maoni gani tena huku kasema kwa sasa ni mapema mno kuamua had8 tujue undani wa mikataba itakayofikiwa? And yet tayari kasema hajawahi kuona mkataba mbaya kama huu.
 
Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
Wabunge wetu hawa hawa. ndo wawe na weledi wa kusoma na kuichambua mikataba? Musiwaonee jamani wapo pale kwaajili ya kusema ndioooo . Wanailinda serikali yao. Kikubwa posho zao na maslahi yea yapo.
 
Chadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
Kwani uongo yule shetani alitaka kuhamishia rasilimali zote za nchi Chato!

Jadili hoja acha kutukumbusha mambo ya shetani!
 
Wabunge wetu hawa hawa. ndo wawe na weledi wa kusoma na kuichambua mikataba? Musiwaonee jamani wapo pale kwaajili ya kusema ndioooo . Wanailinda serikali yao. Kikubwa posho zao na maslahi yea yapo.
Musukuma hawezi kuandika hata paragraph moja kwa Kiswahili kilichonyoka.

Kibajaji, hajui hata table la 5 wala la 9. Hata 5 x 5 mpaka atumie calculator.

Japipo hata ukimwambia aandika majina ya ndugu zake 20 hawezi, amekariri tu namna ya kuandika jina lake. Mpaka fomu ya kugombea ubunge huandikiwa na watu wengine.

Halafu hao ndiyo utegemee waupitie mkataba wa mwarabu halafu waseme kama ni mzuri au mbaya!

Mijitu mijinga mijinga, isiyo na aibu wala heshima kwenye jamii, ndiyo huwa inatafutwa na kuwekwa mbele kwenye mambo ya hovyo.
 
Back
Top Bottom