Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.

View attachment 2653077

Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.

Toa maoni yako.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa Huwa nampendea kalafudhi kake, kwakweli kananikumbusha watu wa pale kwenye shamba la alizetiii
 
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.

View attachment 2653077

Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.

Toa maoni yako.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huna ishu badala ya kutoa ushauri unaanza kubwatuka
 
Back
Top Bottom