denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,486
- 68,288
Wabunge wenye fani mbalimbali wasiojua hata kutamka neno intergovernmental?!Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
Inaonekana hata nawe una "fani mbalimbali"