Kipindi chote cha shujaa Lisu alikuwa anapinga maendeleo alitumika vibaya mnoNimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?
Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme
Naweka video ya alichozungumza
View attachment 2652209
Mbowe mbona kahongwa asali siku nyingi Tu lakini husemi we mbajotumeuzwa bure wachache kina Msukuma wamehongwa mavieite na short tour kwenda Dubai.
Pumbafu nyinyi SI ndio wapiga zumuri wa mafisiem au unajitoa ufahamu?Bandari zote zimekwenda na maji.
ULiwahi kuuzwa wapi?Kilwa /Bwagamoyo,au Zenji? Mimi sijawahi😂.Hivyo sasa tufanyeje,tuamke au tuendelee kupiga usingizi 🤔Kuuzwa siyo ajabu , tumeshauzwa sana
Tumezoea
Tena tumenunuliwa na mubeligijiii wa buzaNimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?
Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.
Naweka video ya alichozungumza.
View attachment 2652209
Unalaana we bintiSamia hana huruma na wabara, ametutoa sadaka, huyu ni shetani.
Samia ni shetani.Unalaana we binti
mashoga ya ccm yanayohongwa na mwarabu aka slave trader kumbe mmekuja jf kutetea bwana lenu.Mbowe mbona kahongwa asali siku nyingi Tu lakini husemi we mbajo
mjinga ni wewe na mamako aliekuzaa huyo magufuli uwaji la watu nani analitaka kama sio wewe na wajinga wenzio mlionufaika na mauwaji ma uporaji wa mali za watu.Hawa wajinga ndio walishangilia magufuli kufa ili huyu mtu atuuze kwa waarabu