Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

Binafsi mimi ni kati ya watu wachache ambao tunasikitishwa na kutokuweza kung’amua falsafa ya siasa ya Mh. Tundu Lissu, Admitted.
 

HAHAHA .kipindi kileeee walisema tuna rais wa hovyo haijawahi tokea ,tena muhutu kutoka burundi sijui rwanda.lissue aishiwi na maneno ya kukera
 
Ccm hakuna hata mmoja wa kujibu hoja za mh lissu, kauli moja tu ccm na machawa wamejificha pasipo julikana
 
004 aligawa gesi yetu Kwa wageni na hakuwa mzanzibari.

Ingawa Pana kiwango Fulani Cha UKWELI sababu bandari zetu wamepewa waarabu while za Zanzibar hazikuguswa.

Huo ni mkanganyiko wa kikatiba.
Na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya hivi karibuni ameongelea Bandari kuwa sehemu ya Muungano na haja ya kiumganisha Mipango ya Bara na visiwa ya maendeleo, sio huku Sisi tunakodisha Bandari zao hazi kodishwi. Na Wana hisa wa Bandari yetu ndio hao wanatoka upande wa pili
 
Nawaomba Chadema katika maandamano yenu na dai la Tanganyika msilisahau kabisa.

Nawaomba sana Chadema mapambano yakiongozwa na Lissu mzidi kugongelea msumari kuhusu Tanganyika na muungano huu wa mchongo.

Naona wanafiki wameanza toka mashimoni.

Kwa nini kuidai na kuizungumzia Tanganyika ionekane haramu hata kwa Watanganyika wenyewe ? Kama sio upumbavu huu ni nini ?

Lissu shikilia hapo hapo natumahi mwabukusi ataongeza nguvu.
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…