BROO NDO MAANA KUMBE HAWAKUTAKI... HAPA ULIONESHA UBAGUZI KABISA BWANA MKUBWA. RAIS NI RAIS BILA KUJALI KATOKA UPANDE GANI WA MUUNGANO.
Hujaelewa logic ya hiyo speech ya Tundu Lissu kwa sababu pengine akili na ufahamu wako ni sawa na wa mdudu panzi...
Context na muktadha wa speech ya mwamba huyu unajikita kuwaeleza na kuwafahamisha wananchi tatizo au madhaifu au ubovu wa huu unaoitwa "Muungano wa Tanganyika & Zanzibar..."
Muungano wetu maana yake ni nchi mbili zilizokubaliana kuungana ktk mambo fulanifulani tu..
Tanganyika na Zanzibar hazijaungana kwa mambo yote. Mojawapo ya mambo ambayo si ya muungano "u - Rais" au "uongozi wa nchi na serikali za nchi hizi mbili.."
Zanzibar nchi yao iko palepale...
Zanzibar wana serikali na mfumo wao wa kujitawala...
Tanganyika iko wapi? Kwanini Raia wa Zanzibar yeyote ana haki na uwezo wa kuja huku Tanganyika na kuwa kiongozi na hata kumiliki ardhi lakini haki hiyohiyo Mtanganyika hawezi kuipata huko Zanzibar kwa sababu anahesabiwa kuwa si Mzanzibari bali raia wa kigeni..??
Tumia akili yako vizuri kufikiri
Hebu pia Jiulize swali muhimu hili👇
Kwamba, inawezekana vipi raia wa nchi ya Zanzibar yenye wakazi (population) ya watu wasiofika hata 2,000,000 eti aje kututawala sisi Watanganyika tulio zaidi ya 64,000,000...?
Kama akili zako sio za panzi, hilo ☝🏻☝🏻wewe linakuingia akilini kweli...?
Sasa Je, sio kweli kuwa Muungano huu una kasoro na shida kubwa sana..?
Ndiyo maana Mzanzibari anaweza kutoka huko kwao na kuwa "Rais wa Tanganyika" na kisha kutumia weakness hii kuvuruga Watanganyika kama anavyofanya Bi Samia Samia Suluhu Hassan sasa...
Ameuza bandari zetu zote, mbuga zetu nyingi, mamilioni ya hekari za misitu yetu kwa waarabu kwa kuhongwa mapesa na hao wajomba zake ambayo anayapeleka kwao Zanzibar ili kuijenga nchi yake...
Wewe hulioni tatizo hili..?
Kama hulioni, basi wewe ni panzi tu asiye na akili wala ufahamu na ndiyo maana unaandika hoja zako kwa mwandiko wa herufi kubwa tupu...!!!