Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za mtaa na mwakani.

Nawashauri kamatieni hapohapo, ukisikia mayowe jua jiwe limetua.
Huyu Mwamba sio mtu wa kawaida.
 
Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za mtaa na mwakani.

Nawashauri kamatieni hapohapo, ukisikia mayowe jua jiwe limetua.
Hilo suala la Muungano ni la siku nyingi sana toka mzee Nyerere akiwa hai, zilishaundwa tume nyingi sana, kutafuta, suluhu. Miongoni mwa tume maarufu ni tume ya Nyalali. Hakuna hoja ambaye ni ya maana kuwa, ni kitu kipya.

CDM wanashindwa kuwashawishi, watanzania kwa kuwa ni chama kisichokuwa na milengo kamili. Na, mm pia ni naona kuwa bado hakina hoja za msingi kuiondoa CCM. Chama chenyewe kimekuwa chama cha makando kando. Mfano, mwenyekiti wa chama amekuwa wa kudumu. Je, utaweza vipi kukosoa huku ukiwa, ww huna democracy. Mwaka 2015 walimsimamisha marehemu Lowasa. Lakin tayari walishawadanganya watanzania kuwa, alikuwa fisadi.

Kwa upande wangu naamini watanzania tunahitaji vyama imara, na visivyohitaji maslahi zaidi ili kuiondoa CCM. ACT na CDM sio vyama vya kutusaidia.
 
Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania​

Kuiondoa CCM madarakani hatuhitaji vyema.imara, bali tunahitaji wananchi/wapiga kura imara wenye kujielewa na kuelewa ni nini wanahitaji kwa maslahi mapana ya taifa
 
Wanataka kutuaminisha ajenda ya Muungano ni ya Mpuuzi Lissu kumbe ni ya muda enzi za akina Nyalali ila kwà kuwa Ajenda za CDM ni kuwazarau watu wa KANDA ya Ziwa
 
Lissu anapogusa ni sahihi kabisa anapaswa kukaza uzi zaidi.

Mwagia mafuta ya taa shimoni nyoka atatoka tu mwenyewe 😎
 
Mwabukusi anasema Tundu Lissu tunamuona kama mwenzetu lakini sio kweli. Lissu ni kama Yesu alizaliwa na Mwanamke na baadae walikuja kushangaa alipokufa akafufuka ndio wakakiri kwamba kweli alikuwa Mwana wa Mungu. Awali walisema anakufuru.
Unamjua aliekufa kisa tu kasifiwa kuwa kama Mungu nae hakukanusha?
 
Kuiondoa CCM madarakani hatuhitaji vyema.imara, bali tunahitaji wananchi/wapiga kura imara wenye kujielewa na kuelewa ni nini wanahitaji kwa maslahi mapana ya taifa
Ili kupata wapiga kura imara, unatakakiwa kwanza upate vyama vya upinzani imara ili wapiga kura waviamini.
 
Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania​

Kama kaongea hivyo basi mpuuzi, Zanzibar ni nchi,suala la idadu ya watu halina mashiko,ukiiondoa Zanzibar hakuna Tanzania,utailinganishaje na temeke!?
 
Ukizungumzia katiba wengi hawaelewi unaongelea Nini Ila ukizungumzia Tanganyika watakuelewa vizuri.
Hawa watu pamoja na kulalamika juu ya muungano lakini hawachangii chochote kuendesha serikali ya muungano.
Hata rais aliyepo Hana uhalali maana anatawala Tanganyika Kisha tunamlipa kwa Kodi zetu, Kama tuna shida ya viongozi si tukachukue kina Angela Merkel watuongoze tuwalipe na sio kuchukua mtu mwenye uwezo mdogo.
Wabunge wa Zanzibar waliopo bungeni wanalipwa kwa Kodi ya Tanganyika Ila hawaoni ni kero, mawaziri na viongozi wengine wanalipwa kwa Kodi za Tanganyika Ila hawaoni kero zaidi wanashiriki kuuza rasilimali za Tanganyika.
Wanapewa payee ambayo hawajachangia hata senti tano waliweka Kama kero ya muungano.
Wamejiongezea kinyemela mgao wa misaada hawaoni ni kero.
Badala ya muungano tumekaribisha kupewa ambao wanatuongezea mzigo wa Kodi.
 
Back
Top Bottom