Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?

* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi

* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
Hujielewi.Ni vema ukajiita "Kabendera kafuata upepo"!
 
Na aliposema JPM ni dikteta uchwara mlisema pia ni mchochezi na wengine wakaenda mbele na kutamani hata amalizwe.

Leo hii ndio nyie nyie mnamuimbia mapambio Rais Samia kuwa amerudisha nchi kwenye demokrasia na nchi iko huru.
 
* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?

* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi

* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
Dawa inawaingia kunakotakiwa sasa. Lissu shikia hapo hapo.
 
* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?

* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi

* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
Jibu hoja zake vinginevyo unajijambia tu
 
* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?

* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi

* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
Lissu anasema ukweli vinginevyo wente kuweza kumjibu kupitia katiba wajitokeze
 
* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?

* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi

* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
huyo unayesema ni mchochezi, Watanganyika wanamwona ni mtetezi wao. humwezi uyo.
 
Tunaelekeawapi.jpeg

☝🏿Royal Tour
👇🏿Kuelekea Handeni
Maasaiwahandeni.jpeg
 
Lissu kukosea huwa vigumu sana halafu ukiondoa Mungu LISSU hajawahi kiogopa kiumbe yeyote alimradi anapumua na kwenda chooni
 
Back
Top Bottom