Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Tundu Lisu aache kucheza ngoma ya Mbowe ya korona aliyohamasisha wabunge wake kutoka nje na kukimbilia kwenye mabaa.

Tanzania kama korona ingekuwepo wananchi wenyewe wangeacha kukusanyika hata makanisani na misikitini bila kuambiwa mana vifo havijifichi kama vingekuwepo.
 
Huyu jamaa kama anataka tufungiwe ndani mwambieni akalime tu.
Atakuwa anashindwa kusoma alama z nyakati.
 
Ukweli lazima usemwe
 
Nasubiri majibu kutoka Mirembe, wakisema Lissu yupo poa, nitatoa mawazo yangu kuhusu alivyosaliti taifa letu
 
Kuna mtu alikimbia kwao miezi miwili alikuwa anakimbia nini😂😂😂😂
 
Ndio nashangaa,hawaeleweki wapo upande upi hasa.

Watangaze rasmi kususia kampeni ili waunge juhudi za kutokomeza corona kwa wafuasi wao
Jiulize tu...mbona bado wanaendelea kukusanyana?
 
Mimi pia nimeshangazwa na kauli ya Lisu, anasema Corona ipo na watu wanakufa halafu yeye anavunja taratibu za kuzuia maambukizi. Wakati mwingine ni ujinga kushabikia hawa watu.
 
Kutokuvaa kwao barakoa hakuuzuii Ukweli kuwa Corona bado ipo! Tuache kuwa wajinga kupindukia.
Sasa mbona hamkuvaa kama mnaamini corona ipo Tanzania kwa kiasi hicho mnachoamini....
 
Sawa kabisa nadhani ni hiyo chip aliyowekewa na mabeberu kumfuatiliza popote alipo ili waweze kuwakamata "wasiojulikana" ndo maana anachokoza kwa nguvu zote wakitokea tu washikwe. Pole zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…