Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Kwani huko Kenya maCCM hampo!!?? Hoja ya kijinga kabisa
 
Mtaelewa tu.

Mwiba hutokea ulipoingilia
 
Mtakufa kwa pressure nyinyi

LISU ni giant figure world wide

Nawewe jaribu kuhojiwa japo na channel Ten yenu ccm kapa unataka.

Inaonesha Lisu has been known not only locally lather to international levels

Mtaumbuka mwaka huu.
 
Jibu la swali amejibu Uhuru majuzi. Kenya has an independent media .
 
Mkuu iko hivi Tundu Lissu ameathirika kisaikolojia ndiyo maana tangu atue Nchini hakuna cha maana anachokiongea zaidi ya kujihami.

Mara nikishindwa uchaguzi niataingia barabarani, mara wajaribu waone, yaani anaropoka ili akamatwe apate kick mabwana zake waseme anaonewa.
 
Eti Kenya leo ndiyo ina uhuru...

Mmesahau wengi mlivyokuwa mnaitukana Miguna alivyosakamwa kuingizwa kwenye ndege.

Magufuli ni mzalendo hata kwa kumskiliza...sijapata kuguswa na mgombea mwingine zaidi yake na mzee Hashimu Rungwe.
 
Wewe mwenyewe ndio umejaa chuki dhidi ya Lissu. Kwanza wewe ni muongo sana.
 
Mkuu huzi propaganda tulishazichoka kwasasa.


Tunachokita kwasasa ni kuhakikisha Magufulia anaondoka Madarakani kwanza
Nakuhakikishia Magufuli haondoki madarakani leo wala kesho wala keshokutwa.

Hakuna mpinzani mwenye ubavu siyo tu kumuondoa Magufuli madarakani hata kufikisha nusu ya kura za Magufuli.
 
Membe; Nipeni kura Mimi CCM wamenikata.

Lisu : Nipeni kura Mimi nimepigwa risasi.

Magufuli nipeni kura mimi maana wapinzani watabomoa madaraja na kuuza chuma chakavu.
 
Eti Kenya leo ndiyo ina uhuru...

Mmesahau wengi mlivyokuwa mnaitukana Miguna alivyosakamwa kuingizwa kwenye ndege.

Magufuli ni mzalendo hata kwa kumskiliza...sijapata kuguswa na mgombea mwingine zaidi yake na mzee Hashimu Rungwe.
Mkuu Hawa jamaa mzee marehemu Mkapa aliwaita malofa na wapumbavu kwani alikosea hapana hakukosea hawa kweli ni malofa haswaa.
 
Watanzania tunataka maendeleo ya nchi yetu na tumeanza kuyaona huyo Tundulisso hatujaona alichowafanyia Watanzania nyie hamna macho mnakwama wapi??
 
Wanafiki mtapata tabu sana. Lissu halembi, lembi lugha anamagwa ukweli tu. Narudia wanafiki mtapata tabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…